Ad imageAd image

Latest news

DC LUDEWA AWAPOKEA MADAKTARI BINGWA WA RAIS DKT. SAMIA

Na. Damian Kunambi, Njombe Mkuu wa wilaya ya Ludewa Victoria Mwanziva amewataka madaktari bingwa wa Rais Samia Suluhu Hassan walio wasili wilayani hapo kwa lengo la kutoa huduma kwa akina mama wajawazito, magonjwa ya watoto, Usingizi na ganzi, upasuaji pamoja na magonjwa ya ndani kufanya kazi usiku na mchana ili kuhakikisha kuwa kwa kipindi kifupi watakacho kuwepo  wanahudumia wananchi wengi

John Bukuku By John Bukuku

MAHIMBALI APOKEA TAARIFA MAANDALIZI WIKI YA MADINI KUTOKA FEMATA

*Maonesho na Kongamano la Wachimbaji Madini kufanyika Dodoma Juni 2024 Katibu Mkuu Wizara ya Madini Kheri Mahimbali amekutana na kuzungumza katika kikao kifupi na Kamati ya Maandalizi ya Wiki ya Madini, Maonesho na Kongamano la Wachimbaji Madini Tanzania. Kikao hicho kimefanyika leo Mei 7, 2024 ofisini kwake Jijini Dodoma ambapo Kamati hiyo imefika ofisini hapo ili kutoa taarifa ya maandalizi

John Bukuku By John Bukuku

IMANI POTOFU NI CHANZO CHA UKATILI

Wanakijiji wa kijiji cha Siliwiti wilayani Momba wametakiwa kuachana na imani potofu za kishirikina ikiwemo ramli chonganishi pamoja na unywaji wa pombe uliopindukia. Kauli hiyo imetolewa Mei 07, 2024 na Koplo James Chitukulu wakati akizungumza na wanakijiji hao kwa lengo la kuwajengea uelewa kuhusu madhara ya imani potofu za kishirikina na  kujichukulia sheria mkononi na kusababisha mauaji pamoja na vitendo

John Bukuku By John Bukuku

MAJALIWA AONGOZA KIKAO KAZI CHA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko  alipowasili kwenye viwanja vya jengo la Hazina jijini Dodoma  kuongoza kikao kazi cha Mawaziri, Mei 07, 2024. Wa tatu kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge Jenista Mhagama na wa pili kulia  ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri

John Bukuku By John Bukuku

WANAFUNZI 40 WATAKAOPATA UFAULU WA JUU MASOMO YA SAYANSI KUPATA UFADHILI CHUO KIKUU DAR

  Na Gideon Gregory, Dodoma. Ili kuwezesha na kuimarisha huduma ya utoaji na upatikanaji wa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu wenye sifa na uhitaji, Serikali itatoa ufadhili wa masomo kwa wanafunzi 40 wenye ufaulu wa juu kwenye masomo ya sayansi hususani wanafunzi wa kike waliohitimu Mtihani wa Taifa ya Kidato cha Sita na shahada ya awali kupitia Chuo

Alex Sonna By Alex Sonna

SERIKALI YAUNDA KAMATI YA UCHAMBUZI VIWANGO VYA PENSHENI

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Taska Restituta Mbogo, aliyetaka kufahamu lini Serikali itawaongezea pesheni wastaafu wanaolipwa shilingi 100,000 kwa mwezi na Hazina. ........................  Peter Haule, WF, Dodoma Serikali imesema kuwa imeunda kamati ya kukusanya na kuchambua maoni na mapendekezo ya viwango vya nyongeza ya pensheni ili kuwezesha maandalizi ya rasimu

John Bukuku By John Bukuku

UMUHIMU WA JAMII KUWAKINGA WATOTO NA MAUDHUI YA KIMTANDAO YASIYOFAA WATAJWA

Afisa Maendeleo Mkuu kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Christabela Ngowi akizungumza na wanafunzi na walimu wa Shule ya Msingi Tukuyu wilayani Rungwe wakati wizara hiyo ilipoendesha  kampeni maalumu dhidi ya Usalama wa Watoto Mitandaoni.(Picha na Joachim Nyambo) Wanafunzi wa Shule ya Msingi Tukuyu wilayani Rungwe mkoani Mbeya wakimsikiliza Afisa Maendeleo Mkuu kutoka Wizara ya Maendeleo

John Bukuku By John Bukuku

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AZUNGUMZA NA UJUMBE WA KAMPUNI YA WAPCOS IKULU ZAN ZIBAR LEO MEI 7,2024.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mwenyekiti na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya WAPCOS ya Nchini India Bw.Rajni Kant Agrawal, alipofika Ikulu Jijini Zanbzibar na ujumbe wake kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 7-5-2024.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara

SERIKALI YAUNDA KAMATI YA UCHAMBUZI VIWANGO VYA PENSHENI

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Taska Restituta Mbogo, aliyetaka kufahamu lini Serikali itawaongezea pesheni wastaafu wanaolipwa shilingi 100,000 kwa mwezi

John Bukuku By John Bukuku

SERIKALI KUWAKOPESHA MAJASIRIAMALI 18.5 BILIONI KUPITIA NMB

Na Mwandishi Wetu Serikali imetenga kiasi cha TZS bilioni 18.5 kwa ajili ya kuwawezesha wajasiriamali nchini zitakazotolewa kama mikopo yenye masharti nafuu kupitia Benki ya NMB. Makubaliano ya utaratibu wa

John Bukuku By John Bukuku