- Advertisement -
Mwili wa marehemu Noel Mwingira ukipelekwa eneo ulipohifadhiwa kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Furaha Tv na Furaha Fm Bw. Furaha Dominic akizungumza waandishi wa habari wakati wa kuaga mwili wamarehemu Noel Mwingira katika viwanja vya Leaders Kinondoni jijini Dar es Salaam. ........................... Vijana nchini wametakiwa kuwa na upendo, umoja na mshikamano katika maisha yao…
Ferdinand Shayo ,Manyara . Mamia ya Wafanyakazi wa Kampuni ya kuzalisha vinywaji changamshi ya Mati Super Brands Limited wameshiriki maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi ya Mei Mosi yaliyofanyika kimkoa Katika Viwanja vya Tanzanite Kwaraa Wilayani Babati Mkoani Manyara na kupambwa na msafara mrefu wa magari ya kusambaza vinywaji kutoka kwenye kampuni hiyo. Mkurugenzi wa Kamapuni hiyo David Mulokozi…
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Mashaka Biteko (kushoto) akimpatia tuzo ya EWURA, Ofisa wa EWURA anayehusika na ushirikishwaji wa wazawa katika Miradi ya Mafuta na Gesi Asilia nchini, Bw. Joseph Mboma (wa pili kulia). Mchumi kutoka EWURA,Bw. Joseph Mboma,akiwa ameshika ngao na cheti kilichotolewa kwa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (…
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Alhajii Adam K. Malima amekutana na kufanya mazungumzo na timu ya uratibu wa kufanikisha kambi ya madaktari Bingwa wa Dkt Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kanda ya kati ikihusisha Hospital za Rufaa Mikoa ya Morogoro, Iringa, Singida, Dodoma na Pwani . Hatua hiyo ni katika kuhakikisha serikali inasogeza huduma za…
Na Mwandishi wetu, NCAA. Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imepongeza hatua iliyofikiwa katika ujenzi wa Jengo la makao makuu wa NCAA linalojengwa Karatu Mkoani Arusha. Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi NCAA Jenerali Venance Mabeyo (mstaafu) amesema ujenzi wa jengo hilo ni utekelezaji wa maelekezo ya Serikali ya kupunguza shughuli za kibinadamu ndani ya hifadhi ili…
Na. WAF - Dodoma Serikali ya Tanzania na Misri ziliingia mkataba wa makubaliano kati ya Wizara ya Afya na Shirika la ALAMEDA Healthcare Group Oktoba, 2022 ili kushirikiana katika nyanja ya Afya hasa upande wa huduma za kimatibabu kwa kubadilishana uzoefu, usimamizi wa hospitali na matibabu ya wagonjwa wa Kimataifa. Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu ameeleza hayo leo Aprili…
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika utiaji saini mikataba 20 ya ukarabati na ujenzi wa miradi ya umwagiliaji baina ya Tume ya Taifa ya Umwagiliaji chini ya Wizara ya Kilimo na Wakandarasi jijini Dodoma hapo kesho. Mikataba hiyo ni ya ujenzi na ukarabati wa Skimu 14 pamoja na miradi sita (6) ya usanifu wa kina na upembuzi…
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dk. Doto Biteko, ameipongeza Kampuni ya Barrick chini kupitia migodi yake ya Bulyanhulu, North Mara na Buzwagi kwa kuzingatia kanuni za Afya na usalama kwa ufasaha kupitia sera yake ya ‘Journey to zero’. Biteko alitoa pongezi hizo baada ya kutembelea banda la Barrick Tanzania katika maonesho ya afya na usalama mahali…
Confirmed
0
Death
0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameupongeza uongozi na wafanyakazi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kwa kuwa injini ya kutekeleza maono ya Rais wa Jamhuri ya Muuumgano wa Tanzania Dkt. Samia…
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (MB), akipokelewa na Waziri wa Fedha wa Kenya Prof. Njuguna Ndung’u, alipowasili kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za…
Sign in to your account