- Advertisement -
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Ahmed Abbas Ahmed akikagua mbegu bora za mazao zinazozalishwa na Wakala wa Mbegu za Kilimo (ASA) kwenye viwanja vya shamba la mbegu Namtumbo katika maadhimisho ya siku ya mkulima yaliyofanyika wilayani Namtumbo. Mashamba ya mbegu eneo la NAFCO wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma,katika msimu huu ASA Namtumbo wanatarajia kuzalisha zaid ya tani 1,275 za mbegu…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Kenya Mhe. Dkt. William Ruto mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kenyatta (KICC) Jijini Nairobi nchini Kenya tarehe 29 Aprili, 2024 kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wenye lengo la kuainisha…
*Awataka Watanzania kuwa waaminifu *Asisitiza ushiriki wa makampuni ya Kitanzania kuongezeka *Apongeza Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi kukuza ushiriki wa Watanzania kwenye shughuli za kiuchumi *Atoa tuzo kwa makampuni yaliyofanya vizuri kwenye kuzingatia local content Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, amewataka Watanzania kutumia fursa zilizopo kwenye uwekezaji miradi ya kimkakati kuhakikisha kuwa…
Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Morogoro imewataka Wananchi wa Mkoa huo kuwa watulivi wakati Serikali ikiendelea kuchukuwa hatua za dharura kurejesha miundombinu ya barabara na madaraja yaliyoharibika katika kipindi hiki cha mvua kubwa . Akizungumzia athari za mvua hizo tarehe 28 Aprili 2024; Meneja wa TANROADS Mkoa wa Morogoro Mhandisi Alinanuswe L. Kyamba ameeleza kuwa tayari Wakandarasi wapo…
Serikali imetoa shilingi Bilioni 1.5 kwa ajili ya kuanza urejeshaji wa miundombinu ya barabara zilizoharibika maeneo mbalimbali Mkoani Mwanza. Fedha hizo zimetolewa na serikali kwenda Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Mwanza ili kuanza haraka kazi ya marekebisho miundombinu ya barabara na madaraja ambayo yameharibika kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha Meneja wa TANROADS Mkoa Wa Mwanza Mhandisi Paschal Ambrose…
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda katika Banda la Barrick ****** Viongozi mbalimbali wa Serikali na Wananchi wamepongeza kazi kubwa na nzuri inayofanywa na migodi wa dhahabu wa Barrick Bulyanhulu,North Mara na Buzwagi kwa kutumia vifaa vya teknolojia ya kisasa kudhibiti majanga sambamba na kufikisha elimu ya Afya na Usalama kwa wananchi.
Confirmed
0
Death
0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameupongeza uongozi na wafanyakazi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kwa kuwa injini ya kutekeleza maono ya Rais wa Jamhuri ya Muuumgano wa Tanzania Dkt. Samia…
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (MB), akipokelewa na Waziri wa Fedha wa Kenya Prof. Njuguna Ndung’u, alipowasili kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za…
Sign in to your account