Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest news

KATIBU MKUU UVCCM NDUGU JOKATE APOKELEWA KWA SHANGWE MKOANI MTWARA

Katibu Mkuu wa Jumyiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa Komredi Jokate Urban Mwegelo (MNEC) amepokelewa Mkoani Mtwara na kuvishwa skafu kama Ishara ya Amani, Upendo na Mshikamano kwa wananchi wa Mtwara tarehe 28 Aprili, 2028. Komredi Jokate Mwegelo ameambatana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM anayefanyia kazi zake Zanzibar Komredi Abdi Mahmoud Abdi.

John Bukuku By John Bukuku

RC CHONGOLO ASHIRIKI IBADA YA UZINDUZI WA UKUMBI WA KANISA LA KKKT TUNDUMA, ASKOFU MALASUSA ASEMA SONGWE WAMEPATA RC MCHAPAKAZI

Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mhe.Daniel G. Chongolo ameshiriki katika ibada maalumu ya Kanisa la KKKT Jimbo la Tunduma ikiongozwa na Askofu Mkuu wa makanisa ya KKKT Tanzania Dkt. Alex Malasusa iliofanyika katika mji wa Tunduma sambamba na uzinduzi wa ukumbi wa kanisa hilo. Akiongea katika hafla hiyo Chongoloa amesema mkoa wa Songwe ni moja kati ya mikoa mikubwa na

John Bukuku By John Bukuku

MAWAZIRI WA AFRIKA KUJADILI VIPAUMBELE VYA AFRIKA IDA 21

Mawaziri kutoka nchi za Afrika wakifuatilia mawasilisho katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wa Uchangiaji wa Mzunguko wa 21 wa Mfuko wa Maendeleo wa Benki ya Dunia (IDA21) ngazi ya Mawaziri, unaofanyika tarehe 28 Aprili mwaka huu katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kenyatta, Jijini Nairobi, Kenya. Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (MB), akipokelewa na

John Bukuku By John Bukuku

WAZIRI MKUU AFUNGUA SEMINA MAALUM YA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA KILIMO.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi  mbalimbalia liopwasili kwenye ukumbi wa The Super Dome, Masaki jijini Dar es salaam kufungua Semina Maalum ya Uwekezaji katika Sekta ya Kilimo iliyoandaliwa na Benki ya CRDB, Aprili 28, 2024. (Picha naOfisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wakurugenzi wa Kampuni ya utengenezaji  bidhaa za ngozi iitwayo  Fay Fashion , Bw. Geofrey Mlay

John Bukuku By John Bukuku

RAIS SAMIA AWAPISHA VIONGOZI IKULU DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Ndugu Bibiana Joseph Kileo kuwa Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Aprili, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Ndugu Alice Edward Mtulo kuwa Naibu Wakili Mkuu wa Serikali katika hafla fupi iliyofanyika

John Bukuku By John Bukuku

DKT. BITEKO ASISITIZA UMUHIMU WA ELIMU USALAMA MAHALI PA KAZI

• Aipongeza OSHA kuboresha utendaji • Asema ufasinisi sio kuwindana, kutozana faini • Ahimiza hifadi ya mazingira kukabili mabadiliko ya tabia nchi Na Mwandishi wetu, Arusha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko mewataka waajiri kwa kushirikiana na wadau wanaendelea kuboresha mazingira ya kazi ili kuongeza usalama mahala pa kazi na kuwawezesha watumishi kufanya kazi katika

John Bukuku By John Bukuku

DKT. NCHEMBA ASHIRIKI MKUTANO WA IDA21 JIJINI NAIROBI-KENYA

Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (MB), akipokelewa na Waziri wa Fedha wa Kenya Prof. Njuguna Ndung’u, alipowasili kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wa Uchangiaji wa Mzunguko wa 21 wa Mfuko wa Maendeleo wa Benki ya Dunia (IDA21) ngazi ya Mawaziri, unaofanyika tarehe 28 Aprili mwaka huu katika Ukumbi wa Mikutano wa

John Bukuku By John Bukuku

DK.HUSSEIN MWINYI AZUNGUMZA NA RAIS WA SHIRIKISHO LA JAMHURI YA SOMALIA IKULU NDOGO MIGOMBANI LEO.28-4-2024.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Rais wa Shirikisho la Jamhuri ya Somalia Mhe.Dkt.Hassan Sheikh Mohamud, na kutowa mkono wa pole kufuatiya kifo cha Baba yake Mzazi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati Alhajj Hassan Ali Mwinyi, mazungumzo hayo yaliyofanyika  katika ukumbi wa Ikulu

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara