Ad imageAd image

Latest news

KISUKARI, SHINIKIZO LA JUU LA DAMU MAGONJWA TISHIO KWA WATANZANIA

Na. WAF - Dar RS Salaam Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amebainisha kuwa, ugonjwa wa Kisukari na Shinikizo la Juu la Damu (High Blood Pressure) ni kati ya magonjwa Kumi yanayowasumbua Watanzania ambapo amewataka wananchi kuzingatia mtindo bora wa maisha ikiwemo ulaji wa vyakula pamoja na kufanya mazoezi. Waziri Ummy amesema hayo leo Mei 4, 2024 baada ya kufanya

Alex Sonna By Alex Sonna

KIMBUNGA “HIDAYA” CHAPOTEZA NGUVU KIKIKARIBIA NCHI KAVU MAFIA

MWENENDO WA KIMBUNGA “HIDAYA” KATIKA BAHARI YA HINDI MASHARIKI MWA PWANI YA TANZANIA Dar es Salaam, 04 Mei 2024 saa 10:00 Jioni:  Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inaendelea kutoa taarifa ya mwenendo wa kimbunga “HIDAYA” katika maeneo ya pwani ya nchi yetu. Mwenendo wa kimbunga “HIDAYA” unaonesha kuwa mnamo saa 3 asubuhi ya leo, kimbunga hicho kimepoteza nguvu

John Bukuku By John Bukuku

ACHENI ROHO MBAYA WASAIDIENI WATUMISHI MNAOWAONGOZA KUPANDA VYEO -RIDHIWANI .

Naibu Waziri ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa umma na utawala bora Ridhiwan Kikwete akizungumza wakati akifunga mkutano huo mkoani Arusha . Mwenyekiti Mpya wa TAPAHR nchini Grace Meshi  akizungumza katika mkutano huo mkoani Arusha . Happy Lazaro, Arusha . Arusha .Naibu Waziri ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa umma na utawala bora Ridhiwan Kikwete amewataka Wakuu wa

Alex Sonna By Alex Sonna

DIT YAFANYA TAMASHA LA MICHEZO KUIMARISHA AFYA KWA WAFANYAKAZI WAKE

  Wafanyakazi na wanafunzi wa Taasisi ya DIT kampasi ya Mwanza wameshauriwa kujenga utamaduni wa kupima afya mara kwa mara ili kujua kama wanaviashiria vya magonjwa yasiyoambukiza ili wapatiwe matibabu ya mapema.

Alex Sonna By Alex Sonna

TANZANIA KINARA WA UHURU WA HABARI AFRIKA MASHARIKI

* Tanzania yapaa kwenye viwango vya kimataifa baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuimarisha uhuru na demokrasia nchini Mei 4, 2024 Na Mwandishi Wetu- Dar es Salaam Tanzania imeshika nafasi ya kwanza katika nchi zinazolinda uhuru wa vyombo vya habari kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwa mwaka 2024, kwa mujibu wa ripoti mpya ya taasisi ya kimataifa ya Reporters Without

Alex Sonna By Alex Sonna

CDC NA AMREF TANZANIA ZASHIRIKIANA KUIMARISHA KINGA YA MAGONJWA YA MLIPUKO HANANG – MANYARA

  Mgeni rasmi, Dkt. Mohamed Kodi ambaye ni Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang, Mkoani Manyara (wa kwanza kushoto) akimwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Hanang wakati wa uzinduzi rasmi wa maeneo maalum ya kunawia mikono yaliyojengwa na Shirika la Amref Tanzania, kupitia ufadhili wa Kituo cha serikali ya Marekani CDC Tanzania kwa kushirikiana na Wizara ya Afya &

Alex Sonna By Alex Sonna

BALOZI SHAIBU AONGOZA WATUMISHI WA WIZARA YA MAMBO YA NJE KUTEMBELEA MAMLAKA YA NGORONGORO

  Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,  Balozi Said Shaibu Mussa leo tarehe 03 Mei 2024 amewaongoza Watumishi wa Wizara kutembelea Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) ikiwa ni utekelezaji wa Sera ya Mambo ya Nje inayoweka msisitizo katika Diplomasia ya Uchumi. Akizungumza alipowasili  Mamlaka ya Ngorongoro, Balozi Mussa amesema Wafanyakazi hao waliokuwa 

Alex Sonna By Alex Sonna

WAFANYABIASHARA KATAVI WAMEPATA ELIMU YA MLIPA KODI.

Na. Mwandishi wetu, Katavi Wafanyabiashara katika kata ya Majimoto halmashauri ya Mpimbwe wilaya ya Mlele mkoani Katavi wameishukuru Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kuwapa elimu juu ya umuhimu wa kulipa kodi. Wafanyabiashara hao wametoa shukurani hizo katika semina ya iliyofanyika katika kata ya Maji Moto iliyolenga kuongeza uelewa kwa wafanyabiashara, kupitia kampeni ya mlango kwa mlango inayolenga kuwaelimisha wafanyabiashara

Alex Sonna By Alex Sonna
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara

EXIM BANK YAENDELEZA MALIPO YA KIDIJITALI KWA KUSHIRIKIANA NA CHEF’S PRIDE DODOMA

Mkuu wa Idara ya Huduma za Kadi na  Malipo wa Exim Bank, Paritosh Babla (kulia), na Mkurugenzi Mtendaji wa Mgahawa wa Chef's Pride, Salim Mahsen Al Amry, wakisaini makubaliano ya

John Bukuku By John Bukuku

BENKI YA NMB YAZINDUA AKAUNTI YA KIKUNDI

Benki ya NMB imezindua akaunti ya kikundi, inayokuja na maboresho makubwa kwa wanakikundi wote kufurahia huduma kidijitali. Kupitia akaunti hii, wanakikundi wataweza kutumia NMB Mkononi : ➡️ Kufungua akaunti kiurahisi

John Bukuku By John Bukuku