Ad imageAd image

Latest news

RUWASA YAWATUA NDOO KICHWANI WAKINAMA WA RUVU STATION KUPITIA MBIO ZA MWENGE

NA VICTOR MASANGU,KIBAHA  Kaya zipatazo 164 zilizopo katika  eneo la  Ruvu station lililopo  Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani wameondokana na changamoto ya maji baada ya kukamilika kwa mradi wa kisima cha maji chenye uwezo wa kutoa lita 11,820. Akitoa taarifa kwa kiongozi wa mbio za Mwenge wa uhuru kitaifa Meneja wa Mamlaka ya maji safi na usafi wa

Alex Sonna By Alex Sonna

WATUMISHI MBEYA WAPEWA MATUMAINI KUHUSU KIKOKOTOO

Mkuu wa Wilaya aya Rungwe Mhe. Jaffar Haniu amesema kutokana na mchango mkubwa wanaoutoa wafanyakazi mkoa wa Mbeya na Taifa kwa ujumla, madai yao kwa Serikali kuangalia upya suala la kikokotoo litafikishwa mahali sahihi kwakuwa Serikali ya Awamu ya Sita ni sikivu na inawajali wafanyakazi. Mhe. Haniu ameyasema hayo tarehe 1 Mei, 2024 akimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, wakati

John Bukuku By John Bukuku

DC SAME AAGIZA MHANDISI KUCHUKULIWA HATUA

Mkuu wa wilaya ya Same Kasilda Mgeni amemtaka Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri hiyo kumchukulia hatua Mhandisi aliye simamia ujenzi wa kituo cha afya  kata ya Mtii Wilayani humo kwa uzembe kushindwa kusimamia kikamilifu mradi huo na kusababisha baadhi ya Majengo kuwa chini ya kiwango.   Ametoa agizo hilo wakati wa ziara yake alipo tembelea kituo hicho na kubaini moja ya majengo ya

John Bukuku By John Bukuku

CSSC YASHEREKEA MAFANIKIO MRADI WA KUBORESHA MAFUNZO NA HUDUMA ZA FAMASI NCHINI

KAIMU Mganga Mkuu wa Serikali Ziada Sellah,akizungumza wakati wa mkutano mkuu wa mwaka pamoja na kusherehekea mafanikio ya Mradi wa kuboresha mafunzo na huduma za famasi nchini (MAP-QPS) awamu ya pili uliokwenda sambamba na uzinduzi wa mifumo ya TEHAMA na ugawaji wa vitabu vya Famasi jijini Dodoma. Na.Alex Sonna_DODOMA KAIMU Mganga Mkuu wa Serikali Ziada Sellah, amesema wakufunzi wa vyuo

Alex Sonna By Alex Sonna

WAZIRI MKUU AKIJIBU MASWALI YA PAPO KWA PAPO BUNGENI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisikiliza Swali kutoka kwa Mbunge wa Viti Maalum Hawa Mwaifunga, Wakati alipokuwa akijibu maswali ya Papo kwa Papo Bungeni jijini Dodoma, Mei 2, 2024. ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akijibu Maswali ya wabunge wakati wa kipindi cha maswali ya papo kwa papo Bungeni jijini Dodoma, Mei 2, 2024. ( Picha

John Bukuku By John Bukuku

WANACHAMA TMCS TIMIZENI WAJIBU WENU

Na Adeladius Makwega- MWANZA Umoja wa Wanafuzi Wakatoliki wa Vyuo vya Kati na Vyuo Vikuu Tanzania(TMCS) umewataka wanachama wake kuhakikisha wanatoa michango yao kwa wakati na kwa kufanya hivyo watasaidia umoja wao kutimza majukumu yake ya kila siku na wanachama watakuwa wametimiza wajibu wao kwa chama na kwa Mungu. Hayo yamesemwa jioni ya Mei Mosi, 2024 katika viunga vya Chuo

John Bukuku By John Bukuku

MAFANIKIO YA STAMICO NI YAKUIGWA KATIKA SHEREHE ZA MEI MOSI

Wafanyakazi wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) wakiwa katika matembezi  ya Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani yaliofanyika leo Mei 1, 2024 katika Uwanja wa Uhuru uliopo jijini Dar es Salaam. Mwana Jiolojia kutoka Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) Denis Silas akizungumza na waandishi wa habari kuhusu Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani yaliofanyika leo Mei

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara

TIC IMEKUWA INJINI KUTEKELEZA MAONO YA RAIS DKT. SAMIA – MAJALIWA.

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameupongeza uongozi na wafanyakazi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kwa kuwa injini ya kutekeleza maono ya Rais wa Jamhuri ya Muuumgano wa Tanzania Dkt. Samia

John Bukuku By John Bukuku

DKT. NCHEMBA ASHIRIKI MKUTANO WA IDA21 JIJINI NAIROBI-KENYA

Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (MB), akipokelewa na Waziri wa Fedha wa Kenya Prof. Njuguna Ndung’u, alipowasili kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za

John Bukuku By John Bukuku