Ad imageAd image

Latest news

ZAIDI YA WANANCHI 300,000 WANUFAIKA NA MBEGU ZA KISASA ZA MCHIKICHI ZINAZOZALISHWA NA JKT

Mwenyekiti  wa Kamati ya Kimkakati ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Brigedia Jenerali Hassan Mabena,akikagua mradi  wa kilimo cha mchikichi katika  Kikosi cha 821 KJ Bulombora mkoani Kigoma mara baada ya kufanya ziara yake ya kukagua mradi huo. Na.Alex Sonna-KIGOMA Zaidi ya wananchi 300,000 wamenufaika na mbegu za kisasa za mchikichi zinazozalishwa na Jeshi la

Alex Sonna By Alex Sonna

KIMBUNGA HIDAYA CHAENDELEA KUIMARIKA

Dar es Salaam, 02 Mei 2024 Usiku: Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inaendelea kutoa taarifa ya mwenendo wa kimbunga “HIDAYA” kilichopo katika Bahari ya Hindi mashariki mwa pwani ya nchi yetu. Kimbunga “HIDAYA” kimeendelea kuimarika na kusogea kuelekea maeneo ya pwani ya nchi yetu ambapo hadi kufika saa tatu usiku wa tarehe 02 Mei 2024 kilikuwa umbali wa

John Bukuku By John Bukuku

DKT. PINDI CHANA: MAWAZIRI WA MASUALA YA SHERIA KUTOKA NCHI WANACHAMA WA (EAC) KUJADILI MAREKEBISHO YA SHERIA

Waziri wa Katiba na Sheria Balozi Dkt. Pindi Chana leo, Alhamisi Mei 02.2024 ametembelea makao makuu ya Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki iliyopo jijini Arusha, ambapo akiwa hapo amepokelewa na Rais wa Mahakama hiyo Jaji Nesto Kayobera Akizungumza kwenye viunga vya Mahakama hiyo Balozi Dkt. Pindi Chana amesema katika mazungumzo yao wawili hao wamekubaliana kushirikiana kwenye nyanja mbalimbali ikiwemo

John Bukuku By John Bukuku

MWANAFUNZI CHUO CHA SAUTI AFARIKI AKIOGELEA

Aliyekuwa  Mwanafunzi wa Chuo Cha Mtakatifu Augustino (SAUT) Kampasi ya Mwanza Boaz Sanga  Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Mwanza Mrakibu Kamila Labani  Kikosi cha uokoaji kutoka Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Mwanza wakiwa ndani ya ziwa Victoria kwaajili ya kuutafuta mwili wa aliyekuwa Mwanafunzi wa Chuo Cha Mtakatifu Augustino (SAUT) Kampasi ya Mwanza Boaz

John Bukuku By John Bukuku

MIAKA MIWILI YA ROYAL TOUR: MAPATO, WATALII VYAPAA MLIMA KILIMANJARO

Ikiwa ni miaka miwili sasa ya filamu ya Royal Tour leo Mei 2, 2024 Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi ameshiriki mahojiano maalum kupitia kipindi cha JANA na LEO kinachoruka kupitia Radio ya Wasafi Fm “live” kutoka katika Geti la Marangu, Mlima Kilimanjaro. Geti hilo ni mojawapo ya maeneo alikofika Rais wa Jamhuri ya Muungano wa

John Bukuku By John Bukuku

BALOZI MBAROUK AFUNGUA MKUTANO WA NNE WA BARAZA LA WAFANYAKAZI LA WIZARA

Naibu Waziri wa Mambo na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (Mb) akifungua Mkutano wa Nne wa Baraza la Wafanyakazi la Wizara lililofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) tarehe 02 Mei, 2024 ................ Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:"Table Normal"; mso-tstyle-rowband-size:0; mso-tstyle-colband-size:0; mso-style-noshow:yes;

Alex Sonna By Alex Sonna

EWURA YAENDESHA MAFUNZO YA HUDUMA ZA NISHATI NA MAJI KWA WAANDISHI WA HABARI SHINYANGA

Meneja wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Kanda ya Magharibi Mhandisi Walter Christopher akizungumza wakati wa mafunzo kwa waandishi wa habari Mkoa wa Shinyanga yaliyoandaliwa na EWURA kwa kushirikiana na Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga ..... Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Kanda ya Magharibi imetoa mafunzo kwa

Alex Sonna By Alex Sonna
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara

NMB YANG’ARA MAONESHO YA (OSHA) ARUSHA

Benki ya NMB imebeba tuzo ya kampuni bora kwenye sekta ya fedha na bima kama mshindi wa pili (first runner up) katika tuzo zilizotolewa na Wakala wa Usalama na Afya

John Bukuku By John Bukuku

BENKI YA TAIFA YA USHIRIKA MKOMBOZI WA VYAMA VYA USHIRIKA

Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe (Mb), amesema wizara yake kupitia Tume ya Maendeleo ya Ushirika katika mwaka 2024/2025 itaratibu ukamilishaji wa kuanzisha Benki ya Taifa ya Ushirika kwa kuhamasisha

John Bukuku By John Bukuku