Ad imageAd image

Latest news

MZAVA AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI RADI WA MAJI KIMANZICHANA,UNAOSIMAMIWA NA RUWASA

Na Mwamvua Mwinyi, Mkuranga Mei 5 Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru, Godfrey Mzava, Mei 4 Mwaka 2024 ,ameweka jiwe la msingi mradi wa maji Kimanzichana, wilayani Mkuranga, uliogharimu sh.bilioni 5.2 ambao utanufaisha zaidi ya watu 20,000 na kusimamiwa na Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA). Akizungumza baada ya kukagua na kuridhishwa na mradi huo, wakati

John Bukuku By John Bukuku

TMA YAHITIMISHA UTABIRI WA “HIDAYA”, HALI SASA SHWARI

Dar es Salaam, 04 Mei 2024 Saa 5:59 Usiku: Taarifa hii inahitimisha mfululizo wa taarifa za kilichokuwa Kimbunga “HIDAYA” zilizokuwa zikitolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) tangu tarehe 01 Mei 2024. Mwenendo wa mifumo ya hali ya hewa unaonesha kuwa katika kipindi cha masaa 6 yaliyopita, Kimbunga “HIDAYA” kimepoteza kabisa nguvu yake baada ya kuingia nchi kavu

John Bukuku By John Bukuku

KISUKARI, SHINIKIZO LA JUU LA DAMU MAGONJWA TISHIO KWA WATANZANIA

Na. WAF - Dar RS Salaam Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amebainisha kuwa, ugonjwa wa Kisukari na Shinikizo la Juu la Damu (High Blood Pressure) ni kati ya magonjwa Kumi yanayowasumbua Watanzania ambapo amewataka wananchi kuzingatia mtindo bora wa maisha ikiwemo ulaji wa vyakula pamoja na kufanya mazoezi. Waziri Ummy amesema hayo leo Mei 4, 2024 baada ya kufanya

Alex Sonna By Alex Sonna

KIMBUNGA “HIDAYA” CHAPOTEZA NGUVU KIKIKARIBIA NCHI KAVU MAFIA

MWENENDO WA KIMBUNGA “HIDAYA” KATIKA BAHARI YA HINDI MASHARIKI MWA PWANI YA TANZANIA Dar es Salaam, 04 Mei 2024 saa 10:00 Jioni:  Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inaendelea kutoa taarifa ya mwenendo wa kimbunga “HIDAYA” katika maeneo ya pwani ya nchi yetu. Mwenendo wa kimbunga “HIDAYA” unaonesha kuwa mnamo saa 3 asubuhi ya leo, kimbunga hicho kimepoteza nguvu

John Bukuku By John Bukuku

ACHENI ROHO MBAYA WASAIDIENI WATUMISHI MNAOWAONGOZA KUPANDA VYEO -RIDHIWANI .

Naibu Waziri ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa umma na utawala bora Ridhiwan Kikwete akizungumza wakati akifunga mkutano huo mkoani Arusha . Mwenyekiti Mpya wa TAPAHR nchini Grace Meshi  akizungumza katika mkutano huo mkoani Arusha . Happy Lazaro, Arusha . Arusha .Naibu Waziri ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa umma na utawala bora Ridhiwan Kikwete amewataka Wakuu wa

Alex Sonna By Alex Sonna

DIT YAFANYA TAMASHA LA MICHEZO KUIMARISHA AFYA KWA WAFANYAKAZI WAKE

  Wafanyakazi na wanafunzi wa Taasisi ya DIT kampasi ya Mwanza wameshauriwa kujenga utamaduni wa kupima afya mara kwa mara ili kujua kama wanaviashiria vya magonjwa yasiyoambukiza ili wapatiwe matibabu ya mapema.

Alex Sonna By Alex Sonna

TANZANIA KINARA WA UHURU WA HABARI AFRIKA MASHARIKI

* Tanzania yapaa kwenye viwango vya kimataifa baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuimarisha uhuru na demokrasia nchini Mei 4, 2024 Na Mwandishi Wetu- Dar es Salaam Tanzania imeshika nafasi ya kwanza katika nchi zinazolinda uhuru wa vyombo vya habari kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwa mwaka 2024, kwa mujibu wa ripoti mpya ya taasisi ya kimataifa ya Reporters Without

Alex Sonna By Alex Sonna
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara

EXIM BANK YAENDELEZA MALIPO YA KIDIJITALI KWA KUSHIRIKIANA NA CHEF’S PRIDE DODOMA

Mkuu wa Idara ya Huduma za Kadi na  Malipo wa Exim Bank, Paritosh Babla (kulia), na Mkurugenzi Mtendaji wa Mgahawa wa Chef's Pride, Salim Mahsen Al Amry, wakisaini makubaliano ya

John Bukuku By John Bukuku

BENKI YA NMB YAZINDUA AKAUNTI YA KIKUNDI

Benki ya NMB imezindua akaunti ya kikundi, inayokuja na maboresho makubwa kwa wanakikundi wote kufurahia huduma kidijitali. Kupitia akaunti hii, wanakikundi wataweza kutumia NMB Mkononi : ➡️ Kufungua akaunti kiurahisi

John Bukuku By John Bukuku