MUONEKANO wa Boti ya MV Bulombora iliyozinduliwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Kimkakati ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Brigedia Jenerali Hassan Mabena, baada ya kufanyiwa matengenezo makubwa na kikosi cha 821 KJ Bulombora hafla iliyofanyika katika bandari ya Kigoma Mjini. Na Alex Sonna-KIGOMA MWENYEKITI wa Kamati ya Kimkakati ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ya Jeshi…
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, akiwa pamoja na Katibu Mkuu Balozi Aisha Amour, na viongozi mbalimbali wakikagua miundombinu ya barabara ya Mwaikibaki (Morocco-Africana), ambayo inatarajiwa kufanyiwa upanuzi kuwa njia nne, Mkoani Dar es Salaam. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, akizungumza na kusikiliza wananchi wakazi wa Mikocheni, wakati akikagua barabara ya Mwaikibaki (Morocco-Africana) ambayo inaenda kufanyiwa upanuzi na kuwa njia nne…
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI anayeshughulikia Afya Mhe. Dkt. Festo Dugange (Mb) amewaelekeza wataalamu na wasimamizi wa Mageti katika Halmashauri kuacha kutoza Ushuru wakulima wanaosafirisha Mazao chini ya Tani moja ndani ya Halmashauri husika na kufuata utaratibu wa kiwango cha kutozo kisichozidi asilimia tatu ya mazao yaliochini ya Tani moja kwenda…
Wadau wa afya wa Bohari ya Dawa (MSD) Tanga wamehimizwa kusimamia bidhaa za afya zinazosambazwa kwenye vituo vya kutolea huduma za afya vya umma mkoani humo, ili zitumike kama inavyohitajika ikiwa ni pamoja na kusimamia takwimu ili kuwezesha kufanya maamuzi sahihi juu ya upatikanaji wa bidhaazaafya. Akifungua kikao cha wadau na wateja wa MSD kanda ya Mtwara, Mkuu wa Wilaya…
Chama Cha Waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania (JET) leo April 30, 2024 wametembelea Makuyuni Wildlife Park iliyopo wilaya ya Monduli katika mkoa wa Arusha kwa lengo la kujifunza Uhifadhi wa wanyamapori na kujionea shughuli za Utalii. Ziara hii ya mafunzo imefanyika ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mradi wa _"Tuhifadhi Maliasili"_ unaoratibiwa na Chama cha Waandishi wa Habari za…
Na Sophia Kingimali. SHIRIKA la Ndege la Emirates limetangaza mipango yake mipya katika shughuli za kibiashara katika nchi zote ambazo zinahudumiwa na shirika hilo ambazo ni nchi za Afrika, Ulaya, na Asia lengo likiwa kuendelea kukuza huduma ndani ya shirika. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwenye vyombo vya habari Aprili, 30 na Naibu Rais, na Afisa Mkuu wa Biashara wa…
Menejimenti ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Temeke wakiwa katika Kituo Cha kupokea na Kupoza umeme Cha Dege kilichopo Wilaya ya Kigamboni wakikagua mitando ya kituo hicho baada ya kushirika hafla fupi ya kuadhimisha miaka mitatu ya tangu kuanzishwa kwa kituo hicho iliyofanyika leo Aprili 30, 2024 katika ofisi ya kituo hicho. Meneja wa Shirika la Umeme Tanzania…
Confirmed
0
Death
0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameupongeza uongozi na wafanyakazi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kwa kuwa injini ya kutekeleza maono ya Rais wa Jamhuri ya Muuumgano wa Tanzania Dkt. Samia…
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (MB), akipokelewa na Waziri wa Fedha wa Kenya Prof. Njuguna Ndung’u, alipowasili kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za…
Sign in to your account