Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest news

RAIS WA SOMALIA MHE.HASSAN SHEIKH MOHAMUD AIPONGEZA JKCI

Rais wa Jamhuri ya Somalia Mhe. Hassan Sheikh Mohamud akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge wakati alipotembelea taasisi hiyo leo jijini Dar es Salaam kwaajili ya kuona huduma za matibabu ya moyo zinazotolewa. Rais wa Jamhuri ya Somalia Mhe. Hassan Sheikh Mohamud akizungumza na viongozi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)

John Bukuku By John Bukuku

MAJENGO SHULE YA AWALI YA KIMATAIFA ISAMILO YAZINDULIWA,JAMIII YAOMBWA KUACHA UKATILI KWA WATOTO.

Katibu tawala Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela Mkoani Mwanza Mariam Msengi akizungumza kwenye hafla fupi ya ufunguzi wa majengo mapya ya shule ya awali ya Kimataifa ya Isamilo Muonekano wa Shule ya awali ya Kimataifa ya Isamilo inayotumia mtaala wa Cambridge iliyoko Wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza  Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Kimataifa ya Isamilo iliyoko Wilaya ya Nyamagana

John Bukuku By John Bukuku

TARURA:PAIPU KALAVATI ZASAMBAZWA KURUDISHA MAWASILIANO BARABARA KILIMANJARO

Kilimanjaro Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) mkoa wa Kilimanjaro wamenunua na kusambaza paipu kalavati kwaajili ya kurudisha mawasiliano kwenye madaraja yaliyokatika wakati wa mafuriko kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha nchini. Meneja wa TARURA mkoa wa Kilimanjaro Mhandisi Nicholas Francis amesema tayari wamepokea fedha za dharura takriban milioni 477 kwaajili ya kununua vifaa vya kukabiliana na athari za mvua.

John Bukuku By John Bukuku

DK.HUSSEIN MWINYI AMEJUMUIKA NA WANANCHI KATIKA MAZIKO YA MKE WA WAZIRI WA KILIMO ZANZIBAR MHE.SHAMATA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa mkono wa pole kwa familia na Marehemu Fatma Sharif Juma Mke wa  Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar Mhe. Shamata Shaame Khamis (kushoto kwa Rais) alipofika nyumbani kwa marehemu Mwera Kidogo basi Wilaya ya Kati Unguja leo 27-4-2024, kwa ajili ya kutowa

John Bukuku By John Bukuku

SERIKALI KUANZISHA TAASISI MPYA ITAKAYO TOA HUDUMA ZA UPASUAJI WA UBONGO NA MISHIPA

Na WAF – Dar Es Salaam Serikali kupitia Wizara ya Afya imedhamiria kuanzisha Taasisi mahususi ambayo itakuwa inashuhulikia masuala ya upasuaji wa ubongo na mishipa ya fahamu ili iweze kuboresha zaidi huduma hizo za ubingwa kuitoa katika Taasisi ya Mifupa Ubongo (MOI) ambapo itabakia na masuala ya upasuaji wa mifupa pekee. Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema hayo leo

John Bukuku By John Bukuku

DC SAME AAGIZA KUSAKWA KWA WATUHUMIWA WATATU WA MAUAJI YA MWENYEKITI WA KITONGOJI CHA KAPIMBI.

Na Ashrack Miraji Same Kilimanjaro Mkuu wa Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro, Kasilda Mgeni ameagiza Polisi kufanya msako na kuwakamata watu watatu wa familia moja wanaotuhumiwa kuhusika na tukio la mauaji ya Mwenyekiti wa kitongoji cha Kampimbi kata ya Ndungu, Charles Johnson Mkuruto(58). Kwa mujibu wa Mkuu huyo wa wilaya, mnamo Aprili 26 mwaka huu majira ya saa tano na

John Bukuku By John Bukuku

DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZII WA SAUDI ARABIA NCHINI TANZANIA IKULU ZANZIBAR LEO 27-4-2024.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Saudi Arabia Nchini Tanzania Mhe.Yahya Bin Ahmad Ukeysh  alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na ujumbe wake kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo. 27-4-2024.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake

John Bukuku By John Bukuku

WAPATA ELIMU YA KUJIKINGA NA MAGONJWA YA MOYO.

Mkurugenzi wa Idara ya magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Tatizo Waane akimpa ushauri mara baada ya kupima moyo mwananchi aliyejitokeza wakati wa tiba mkoba ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan inayofanyika katika Maonesho ya kimataifa ya usalama mahala pa kazi katika viwanja vya General tire vilivyopo jijini Arusha. Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara