Ad imageAd image

Latest news

VITA YA URAIS KATI YA LISSU NA MBOWE YAIPASUA CHADEMA

*Vita ya urais kati ya Lissu na Mbowe yaipasua CHADEMA * Mgogoro mkubwa wa madaraka waibuka kuwania ugombea urais 2025 * Lissu akianika chama chake hadharani, asema CHADEMA imekithiri rushwa * Ashutumu uongozi wa chama kumnyima pesa za maandamano na mikutano ya hadhara Mei 3, 2024 Na Mwandishi Wetu _ Iringa   Vita kubwa ya madaraka kati ya Tundu Lissu

Alex Sonna By Alex Sonna

TADB YAWAJENGEA UWEZO WAHITIMU 52 KUONGEZA UFANISI UTOAJI WA MIKOPO SEKTA YA KILIMO.

Kaimu Mkurugenzi na Muendeshaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) Dkt. Kanael Nnko akizungumza jambo katika hafla ya kufunga mafunzo ya Wataalam kutoka Benki  washirika kuhusu namna bora kutoa mikopo katika sekta ya kilimo iliyofanyika leo Mei 3, 2024 katika Ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) iliyopo jijini Dar es Salaam. Makamu wa Mkuu wa Chuo Benki

John Bukuku By John Bukuku

BENKI YA NMB YAZINDUA AKAUNTI YA KIKUNDI

Benki ya NMB imezindua akaunti ya kikundi, inayokuja na maboresho makubwa kwa wanakikundi wote kufurahia huduma kidijitali. Kupitia akaunti hii, wanakikundi wataweza kutumia NMB Mkononi : ➡️ Kufungua akaunti kiurahisi na papo hapo kwa kubofya *150*66# ➡️ Kuchangia michango na kukopeshana mikopo ya kikundi kupitia simu zao ➡️ Kuhamisha fedha kwa wanakikundi bila makato yoyote ➡️ Kupata taarifa za kikundi

John Bukuku By John Bukuku

MWENENDO WA KIMBUNGA “HIDAYA” KATIKA BAHARI YA HINDI MASHARIKI MWA PWANI YA TANZANIA

Dar es Salaam, 03 Mei 2024 saa 2:00 Usiku: Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inaendelea kutoa taarifa ya mwenendo wa kimbunga “HIDAYA” kilichopo katika Bahari ya Hindi mashariki mwa pwani ya nchi yetu. Hadi kufikia saa 9 mchana wa leo, Kimbunga “HIDAYA” kilikuwa katika eneo la bahari takriban kilomita 276 kutoka pwani ya Kilwa (Mkoa wa Lindi) na

John Bukuku By John Bukuku

WIZARA YA AFYA SIERRA LIONE YAJIFUNZA NAMNA YA KUANZISHA MATIBABU YA MOYO TANZANIA

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akizungumza na wageni kutoka nchini Sierra Leonne ambao walitembelea Taasisi hiyo leo kwaajili ya kuona huduma za matibabu ya moyo zinazotolewa pamoja na kujifunza namna ambavyo JKCI imepiga hatua kubwa katika  matibabu ya moyo barani Afrika. Kushoto ni Mganga Mkuu wa Serikali ya Sierra Leonne Dkt. Sartie Mohamed

John Bukuku By John Bukuku

ZAIDI YA MABWAWA 100 YA UMWAGILIAJI KUFANYIWA USANIFU

NIRC Dodoma Tume ya Taifa ya Umwagiliaji imeishukuru serikali kwa kuongeza bajeti kiasi cha shilingi bilioni 403 kutoka bilioni 373 kwa aajili utekelezaji wa miradi  ya umwagiliaji nchini. Akizungumza  katika viwanja vya bunge jijini Dodoma Mkurugenzi Mkuu Tume ya Taifa ya Umwagiliaji Bw. Raymond Mndolwa amesema serikali kuongeza fedha Tume ya Taifa ya Umwagiliaji itasaidia kufikia malengo ya Taifa ya pato

John Bukuku By John Bukuku

DKT. BITEKO APONGEZA MCHANGO WA KANISA KWENYE MAENDELEO YA TAIFA

* Awahimiza Wachungaji kuwa na Maono Makubwa *Awataka kuhubiri amani na upendo * Awahimiza kumtia moyo Rais Samia kutekeleza miradi ya maendeleo Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewashauri wachungaji kuwa na maono makubwa katika kuongoza waumini katika makanisa yao ili kujenga Taifa la watu wenye mwelekeo chanya. Akizungumza leo (Mei 3, 2024) Jijini Dodoma

John Bukuku By John Bukuku

MATUKIO YA WAZIRI MKUU BUNGENI KATIKA PICHA.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Maji Jumaa Aweso. Bungeni Jijini Dodoma. Mei 3, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora, George Simbachawene. Bungeni jijini Dodoma, Mei 3, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mifugo na

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara

BENKI YA NMB YAZINDUA AKAUNTI YA KIKUNDI

Benki ya NMB imezindua akaunti ya kikundi, inayokuja na maboresho makubwa kwa wanakikundi wote kufurahia huduma kidijitali. Kupitia akaunti hii, wanakikundi wataweza kutumia NMB Mkononi : ➡️ Kufungua akaunti kiurahisi

John Bukuku By John Bukuku

NMB YANG’ARA MAONESHO YA (OSHA) ARUSHA

Benki ya NMB imebeba tuzo ya kampuni bora kwenye sekta ya fedha na bima kama mshindi wa pili (first runner up) katika tuzo zilizotolewa na Wakala wa Usalama na Afya

John Bukuku By John Bukuku