Ad imageAd image

Latest news

MHE. DKT. NDUMBARO AKUTANA NA VIONGOZI WA CHAMUSTA

WAZIRI wa Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Chama cha Maafisa Utamaduni na Sanaa Tanzania (CHAMUSTA) na kujadili masuala mbalimbali ikiwemo suala la kukabiliana na mmomonyoko wa maadili katika jamii, uboreshaji wa mazingira ya utendaji kazi ya maafisa utamaduni pamoja na ubidhaishaji wa urithi wa utamaduni kwa ajili ya utalii wa

John Bukuku By John Bukuku

BENKI YA TAIFA YA USHIRIKA MKOMBOZI WA VYAMA VYA USHIRIKA

Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe (Mb), amesema wizara yake kupitia Tume ya Maendeleo ya Ushirika katika mwaka 2024/2025 itaratibu ukamilishaji wa kuanzisha Benki ya Taifa ya Ushirika kwa kuhamasisha vyama vya ushirika kuendelea kununua hisa ili kukamilisha mtaji hitajika wa Shilingi Bilioni 20. “Aidha, wizara imepanga kuwezesha uwekezaji katika mifumo ya kidigitali kwenye Vyama vya Ushirika na Mamlaka za

John Bukuku By John Bukuku

MA-RC TENGENI MAENEO YA MAZOEZI – MAJALIWA

*Aeleza mkakati wa Serikali wa kutumia maji ya mvua WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Wakuu wa Mikoa yote nchini waanze kufanya tathmini na kubainisha maeneo ambayo yatatumika kufanya mazoezi kila Jumamosi. “Natoa wito kwa Wakuu wa Mikoa waanze kufanya tathmini ya maeneo waliyonayo na kutenga maeneo ya kufanyia mazoezi. Siyo lazima wafunge barabara kama ilivyo kwa Dar e Salaam, wanaweza

John Bukuku By John Bukuku

WIZARA YA KILIMO KUONGEZA AJIRA ZENYE STAHA KUPUNGUZA UMASIKINI NCHINI

Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) akiwasilisha Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Kilimo kwa Mwaka 2024/2025, amesema wizara yake itaendelea kuwezesha upatikanaji wa ajira zenye staha na ushiriki wa vijana na wanawake kwenye kilimo kupitia utekelezaji wa Programu ya Jenga Kesho Iliyo Bora (Building a Better Tommorrow – BBT). “Wizara itaendelea kutekeleza

John Bukuku By John Bukuku

CDF MKUNDA AELEZA UMUHIMU WA JKT KATIKA ULINZI WA TAIFA

MKUU wa Mkoa wa Tanga Balozi Batilda Burian akikagua gwaride kabla ya kufunga mafunzo ya awali ya ya Kijeshi kwa vijana wa kujitolea Operesheni miaka 60 ya JKT kikosi cha Jeshi 838 Maramba MKUU wa Mkoa wa Tanga Balozi Batilda Burian akikagua gwaride kabla ya kufunga mafunzo ya awali ya ya Kijeshi kwa vijana wa kujitolea Operesheni miaka 60 ya

John Bukuku By John Bukuku

RUWASA YAWATUA NDOO KICHWANI WAKINAMA WA RUVU STATION KUPITIA MBIO ZA MWENGE

NA VICTOR MASANGU,KIBAHA  Kaya zipatazo 164 zilizopo katika  eneo la  Ruvu station lililopo  Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani wameondokana na changamoto ya maji baada ya kukamilika kwa mradi wa kisima cha maji chenye uwezo wa kutoa lita 11,820. Akitoa taarifa kwa kiongozi wa mbio za Mwenge wa uhuru kitaifa Meneja wa Mamlaka ya maji safi na usafi wa

Alex Sonna By Alex Sonna

WATUMISHI MBEYA WAPEWA MATUMAINI KUHUSU KIKOKOTOO

Mkuu wa Wilaya aya Rungwe Mhe. Jaffar Haniu amesema kutokana na mchango mkubwa wanaoutoa wafanyakazi mkoa wa Mbeya na Taifa kwa ujumla, madai yao kwa Serikali kuangalia upya suala la kikokotoo litafikishwa mahali sahihi kwakuwa Serikali ya Awamu ya Sita ni sikivu na inawajali wafanyakazi. Mhe. Haniu ameyasema hayo tarehe 1 Mei, 2024 akimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, wakati

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara

BENKI YA TAIFA YA USHIRIKA MKOMBOZI WA VYAMA VYA USHIRIKA

Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe (Mb), amesema wizara yake kupitia Tume ya Maendeleo ya Ushirika katika mwaka 2024/2025 itaratibu ukamilishaji wa kuanzisha Benki ya Taifa ya Ushirika kwa kuhamasisha

John Bukuku By John Bukuku

TIC IMEKUWA INJINI KUTEKELEZA MAONO YA RAIS DKT. SAMIA – MAJALIWA.

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameupongeza uongozi na wafanyakazi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kwa kuwa injini ya kutekeleza maono ya Rais wa Jamhuri ya Muuumgano wa Tanzania Dkt. Samia

John Bukuku By John Bukuku