Ad imageAd image

Latest news

SERIKALI YATOA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 300 KUBORESHA MIUNDOMBINU SHULE YA MSINGI TUNDURU MCHANGANYIKO

 Mratibu elimu katika kata ya Mlingotimashariki wilayani Tunduru Erith Banga katikati,akimsikiliza Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi Tunduru Mchanganyiko Sabila Lipukila kushoto,kuhusu ujenzi na uboreshaji wa miundombinu ya elimu katika shule hiyo yenye watoto zaidi ya 1,738 kati yao wanafunzi 43 ni wenye mahitaji maalum,kulia Mwalimu wa shule hiyo Ambilikile Mwandembo.  Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi Tunduru Mchanganyiko wilayani

John Bukuku By John Bukuku

TANROADS RUVUMA YAKAMILISHA UREJESHAJI WA MIUNDOMBINU YA DARAJA LA MUHUWESI

Meneja wa TANROADS Mkoa wa Ruvuma Mhandisi Saleh Juma,akiangalia sehemu ya mifereji ya  kupitisha maji katika barabara ya Songea-Mangaka eneo la daraja la Mto Muhuwesi wilayani Tunduru ambayo imeharibika vibaya kutokana na mvua za masika akiwa katika ziara ya kukagua miundombinu ya barabara hiyo jana. Meneja wa TANROADS Mkoani Ruvuma Mhandisi Saleh Juma kushoto,akitoa maelekezo kwa mhandisi wa Kampuni y

John Bukuku By John Bukuku

MADAKTARI BINGWA 40 KUANZA KUTOA HUDUMA ZA ,,KIBINGWA KATIKA HOSPITALI ZA HALMASHAURI ZOTE RUVUMA

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dr.Loius Chomboko akizungumzia kuhusu madaktari bingwa kuanza kutoa huduma za kibingwa katika hospitali za Halmashauri zote mkoani Ruvuma. .........................  Na Albano Midelo,Songea Huduma za mkoba za madaktari Bingwa zinatarajia kuanza kutolewa katika hospitali za Halmashauri zote za Mkoa wa Ruvuma kuanzia Mei sita hadi 10 mwaka huu. Mganga Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dr.Louis

John Bukuku By John Bukuku

DKT. YONAZI ASISITIZA KUWEKWA ANWANI ZA MAKAZI NYUMBA ZINAZOJENGWA HANANG’

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi akitoa maelekezo wakati akikagua moja ya shimo la choo lililojengwa katika nyumba mpya za waathirika wa maafa ya maporomoko ya tope, mawe na miti kutoka mlima Hanang’ katika eneo lililotengwa kwa ajili ya ujenzi wa nyumba hizo la Gidagamowd lililopo katika Kitongoji cha Waret Wilayani Hanang’ mkoani

John Bukuku By John Bukuku

NAIBU WAZIRI PINDA AKABIDHI GARI LA WAGONJWA MPIMBWE

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Mbunge wa jimbo la Kavuu katika halmashauri ya Mpimbwe Mhe, Geophrey Pinda akikata utepe kuzindua gari la kubebea wagonjwa la Kituo cha afya cha Afya Kibaoni tarehe 4 Mei 2024. Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Mbunge wa jimbo la Kavuu katika halmashauri ya Mpimbwe Mhe,

John Bukuku By John Bukuku

MZAVA AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI RADI WA MAJI KIMANZICHANA,UNAOSIMAMIWA NA RUWASA

Na Mwamvua Mwinyi, Mkuranga Mei 5 Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru, Godfrey Mzava, Mei 4 Mwaka 2024 ,ameweka jiwe la msingi mradi wa maji Kimanzichana, wilayani Mkuranga, uliogharimu sh.bilioni 5.2 ambao utanufaisha zaidi ya watu 20,000 na kusimamiwa na Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA). Akizungumza baada ya kukagua na kuridhishwa na mradi huo, wakati

John Bukuku By John Bukuku

TMA YAHITIMISHA UTABIRI WA “HIDAYA”, HALI SASA SHWARI

Dar es Salaam, 04 Mei 2024 Saa 5:59 Usiku: Taarifa hii inahitimisha mfululizo wa taarifa za kilichokuwa Kimbunga “HIDAYA” zilizokuwa zikitolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) tangu tarehe 01 Mei 2024. Mwenendo wa mifumo ya hali ya hewa unaonesha kuwa katika kipindi cha masaa 6 yaliyopita, Kimbunga “HIDAYA” kimepoteza kabisa nguvu yake baada ya kuingia nchi kavu

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara

EXIM BANK YAENDELEZA MALIPO YA KIDIJITALI KWA KUSHIRIKIANA NA CHEF’S PRIDE DODOMA

Mkuu wa Idara ya Huduma za Kadi na  Malipo wa Exim Bank, Paritosh Babla (kulia), na Mkurugenzi Mtendaji wa Mgahawa wa Chef's Pride, Salim Mahsen Al Amry, wakisaini makubaliano ya

John Bukuku By John Bukuku

BENKI YA NMB YAZINDUA AKAUNTI YA KIKUNDI

Benki ya NMB imezindua akaunti ya kikundi, inayokuja na maboresho makubwa kwa wanakikundi wote kufurahia huduma kidijitali. Kupitia akaunti hii, wanakikundi wataweza kutumia NMB Mkononi : ➡️ Kufungua akaunti kiurahisi

John Bukuku By John Bukuku