Ad imageAd image

Latest news

CHIKOTA APENDEKEZA TOZO ZINAZOMUUMIZA MKULIMA WA KOROSHO ZIFUTWE.

Mbunge wa Nanyamba (CCM), Abdallah Chikota,akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Kilimo kwa Mwaka 2024/25 bungeni jijini Dodoma . Na Mwandishi Wetu, DODOMA Mbunge wa Nanyamba (CCM), Abdallah Chikota amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan namna anavyothamini sekta ya kilimo na dhamira ya kuwakomboa wakulima kwa kuongeza bajeti ya Wizara ya Kilimo kutoka Sh.Bilioni 900 hadi Trilioni 1.24.

Alex Sonna By Alex Sonna

RC CHONGOLO AKITETA NA WANAFUNZI SHULE YA MSINGI MALANGALI

Picha na Issa Mwadangala Picha mbalimbali zikimuonesha Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mh. Daniel Chongolo akiwasikiliza  wanafunzi wa shule ya Msingi Malangali iliyopo Wilayani Ileje alipokuwa anawauliza maswali pindi alipotembelea shule hiyo kwa lengo la kukagua maendeleo ya wanafunzi na kupima uelewa wao. Mh. Cholongo amewataka wanafunzi  hao kutumia muda mwingi kujifunza ili kuongeza maarifa ambayo ni sehemu kubwa ya

Alex Sonna By Alex Sonna

RAIS SAMIA ATOA BIL 5 KUREJESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA NA MADARAJA – LINDI

Mvua kubwa za El-Nino zilizonyesha zimeleta athari maeneo mbalimbali hapa Nchini ikiwemo katika Mkoa wa Lindi ambapo zimesababisha uharifu mkubwa wa miundombinu ya barabara na madaraja. Mvua hizo katika baadhi ya maeneo zilikwamisha shughuli za maendeleo ya Wananchi, na hivyo kuifanya Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kufanya kila linalowezekana kurejesha mawasiliano ya barabara zilizokatika kwa haraka. Kwa kuliona

Alex Sonna By Alex Sonna

MWENENDO WA KIMBUNGA “HIDAYA” KATIKA BAHARI YA HINDI PWANI YA TANZANIA

..................... Dar es Salaam, 03 Mei 2024 saa 3:00 Asubuhi: Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inaendelea kutoa taarifa ya mwenendo wa kimbunga “HIDAYA” kilichopo katika Bahari ya Hindi mashariki mwa pwani ya nchi yetu. Kimbunga “HIDAYA” kimeendelea kuimarika na kusogea kuelekea maeneo ya pwani ya nchi yetu ambapo hadi kufika saa tisa usiku wa tarehe 03 Mei 2024

John Bukuku By John Bukuku

MADAKTARI 1,109 KUNUFAIKA NA UFADHILI WA RAIS SAMIA KATIKA MASOMO YA UBINGWA BOBEZI 2023/24

Na WAF - Dar Es Salaam Dkt. Samia Super-Specialized scholarship Programme imetoa nafasi za ufadhili wa masomo ya ubingwa na ubingwa bobezi ambapo kwa mwaka wa masomo 2023/2024, jumla ya Shilingi 10.9 bilioni zimetengwa na kuwawezesha wanafunzi 1,109 kwenye masomo ya ubingwa na ubingwa bobezi. Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema hayo Mei 2, 2024 wakati akifungua mkutano wa

Alex Sonna By Alex Sonna

NAIBU WAZIRI PINDA AKABIDHI BAISKELI KWA WALEMAVU KAVUU

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Mbunge wa Jimbo la Kavuu katika halmashauri ya Mpimbwe mkoa wa Katavi Mhe, Geophrey Pinda (Kushoto) akimkabidhi Baiskeli Mlemavu wa Miguu Bi. Adela John wakati wa mkutano wa hadhara na wananchi wa kijiji cha Kidira katika kata ya Mamba halmashauri ya Mpimbwe mkoa wa Katavi Mei 2, 2024. Katikati ni

John Bukuku By John Bukuku

JKT YAZALISHA MICHE 300,000 NA KUIGAWA BURE KWA WAKULIMA MKOANI KIGOMA

Mwenyekiti  wa Kamati ya Kimkakati ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Brigedia Jenerali Hassan Mabena,akikagua mradi  wa kilimo cha mchikichi katika  Kikosi cha 821 KJ Bulombora mkoani Kigoma mara baada ya kufanya ziara yake ya kukagua mradi huo. Na.Alex Sonna-KIGOMA JESHI la Kujenga Taifa (JKT) katika Kikosi cha 821 Bulombora  wamezalisha miche takribani 300,000 na

Alex Sonna By Alex Sonna
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara

NMB YANG’ARA MAONESHO YA (OSHA) ARUSHA

Benki ya NMB imebeba tuzo ya kampuni bora kwenye sekta ya fedha na bima kama mshindi wa pili (first runner up) katika tuzo zilizotolewa na Wakala wa Usalama na Afya

John Bukuku By John Bukuku

BENKI YA TAIFA YA USHIRIKA MKOMBOZI WA VYAMA VYA USHIRIKA

Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe (Mb), amesema wizara yake kupitia Tume ya Maendeleo ya Ushirika katika mwaka 2024/2025 itaratibu ukamilishaji wa kuanzisha Benki ya Taifa ya Ushirika kwa kuhamasisha

John Bukuku By John Bukuku