Ad imageAd image

Latest news

ZAIDI YA MABWAWA 100 YA UMWAGILIAJI KUFANYIWA USANIFU

NIRC Dodoma Tume ya Taifa ya Umwagiliaji imeishukuru serikali kwa kuongeza bajeti kiasi cha shilingi bilioni 403 kutoka bilioni 373 kwa aajili utekelezaji wa miradi  ya umwagiliaji nchini. Akizungumza  katika viwanja vya bunge jijini Dodoma Mkurugenzi Mkuu Tume ya Taifa ya Umwagiliaji Bw. Raymond Mndolwa amesema serikali kuongeza fedha Tume ya Taifa ya Umwagiliaji itasaidia kufikia malengo ya Taifa ya pato

John Bukuku By John Bukuku

DKT. BITEKO APONGEZA MCHANGO WA KANISA KWENYE MAENDELEO YA TAIFA

* Awahimiza Wachungaji kuwa na Maono Makubwa *Awataka kuhubiri amani na upendo * Awahimiza kumtia moyo Rais Samia kutekeleza miradi ya maendeleo Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewashauri wachungaji kuwa na maono makubwa katika kuongoza waumini katika makanisa yao ili kujenga Taifa la watu wenye mwelekeo chanya. Akizungumza leo (Mei 3, 2024) Jijini Dodoma

John Bukuku By John Bukuku

MATUKIO YA WAZIRI MKUU BUNGENI KATIKA PICHA.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Maji Jumaa Aweso. Bungeni Jijini Dodoma. Mei 3, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora, George Simbachawene. Bungeni jijini Dodoma, Mei 3, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mifugo na

John Bukuku By John Bukuku

RAIS WA ZANZIBAR ALHAJJ HUSSEIN MWINYI AWATEMBELEA MJANE WA MAREHEMU MZEE JUMBE NA MJANE WA MUASISI WA MAPINDUZI YA ZANZIBAR MAREHEMU HAFIDH SULEIMAN.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mjukuu wa Mwanamapinduzi Marehemu Hafidh Suleiman. Lukman Iddi Hafidh Suleiman, alipofika nyumbani kwa marehemu Kilimani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 3-5-2024, kwa ajili ya kumjulia hali kuwasalimia na (kushoto kwa Rais) Mjane wa Marehemu Bi.Mtumwa Hussein Farahan.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na

John Bukuku By John Bukuku

MZAVA AITAKA STAMICO KUONGEZA KASI YA UJENZI KIWANDA CHA MAKAA YA MAWE KISARAWE

Na Mwamvua Mwinyi, Kisarawe Mei 3 KIONGOZI wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Godfrey Mzava, amelitaka Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) kuongeza kasi ya utekelezaji wa ujenzi wa mradi wa kiwanda cha makaa ya mawe, kata ya Visegese wilayani Kisarawe, Mkoani Pwani kabla ya Mei 30 , mwaka huu. Mradi huo ambao ukikamilika utagharimu sh.bilioni 2.4 kati ya

John Bukuku By John Bukuku

DKT. BITEKO APONGEZA MCHANGO WA KANISA KWENYE MAENDELEO YA TAIFA.

 Awahimiza Wachungaji kuwa na Maono Makubwa. Awataka kuhubiri amani na upendo.  Awahimiza kumtia moyo Rais Samia kutekeleza miradi ya maendeleo. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewashauri wachungaji kuwa na maono makubwa katika kuongoza waumini katika makanisa yao ili kujenga Taifa la watu wenye mwelekeo chanya. Akizungumza leo (Mei 3, 2024) Jijini Dodoma wakati wa

John Bukuku By John Bukuku

TANZANIA YAPENDEKEZA KUNZISHWA KWA VITUO VIWILI VYA UMAHIRI KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI

Na WAF - Dar Es Salaam Serikali kupitia Wizara ya Afya imetoa mapendekezo kwa Baraza la Mawaziri wa Kisekta wa Afya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) lipitishe maombi ya Tanzania kuanzisha vituo viwili vya umahiri kwa Afrika Mashariki vitakavyotoa huduma za Afya ya Kinywa na Meno pamoja na huduma za upandikizaji Uloto. Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema

John Bukuku By John Bukuku

SIERRA LIONE WATEMBELEA JKCI KUJIFUNZA NAMNA WALIVOPIGA HATUA KUBWA KATIKA MATIBABU YA MOYO BARANI AFRIKA.

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akizungumza na wageni kutoka nchini Sierra Leonne ambao walitembelea Taasisi hiyo leo kwaajili ya kuona huduma za matibabu ya moyo zinazotolewa pamoja na kujifunza namna ambavyo JKCI imepiga hatua kubwa katika matibabu ya moyo barani Afrika. Kushoto ni Mganga Mkuu wa Serikali ya Sierra Leonne Dkt. Sartie Mohamed

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara

NMB YANG’ARA MAONESHO YA (OSHA) ARUSHA

Benki ya NMB imebeba tuzo ya kampuni bora kwenye sekta ya fedha na bima kama mshindi wa pili (first runner up) katika tuzo zilizotolewa na Wakala wa Usalama na Afya

John Bukuku By John Bukuku

BENKI YA TAIFA YA USHIRIKA MKOMBOZI WA VYAMA VYA USHIRIKA

Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe (Mb), amesema wizara yake kupitia Tume ya Maendeleo ya Ushirika katika mwaka 2024/2025 itaratibu ukamilishaji wa kuanzisha Benki ya Taifa ya Ushirika kwa kuhamasisha

John Bukuku By John Bukuku