MAKADA 460 KAGERA WAJITOKEZA KUWANIA UBUNGE CCM, BUKOBA MJINI YAONGOZA
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi CCM mkoa Kagera Machael Chonya akitoa taarifa ya uchukuaji na urejeshaji wa fomu za kuwania kuteuliwa nafasi za ubunge…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi CCM mkoa Kagera Machael Chonya akitoa taarifa ya uchukuaji na urejeshaji wa fomu za kuwania kuteuliwa nafasi za ubunge…
Picha ni Kabula Juma Sukwa akiwa kwenye ofisi za UWT mkoa akiwa na Katibu wa mkoa wa umoja huo akipokea fomu za kugombea nafasi…
NA DOTTO KWILASA, DODOMA. MUOMBA ridhaa ya kuteuliwa na chama Cha Mapinduzi (CCM) katika nafasi ya ubunge Jimbo la Mpwapwa,Mkoani hapa Nyange Darabu, amewataka…
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro akiwa ameambatana na Mke wake Bi. Florah Ndumbaro leo…
Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB ,Dkt Charles Kimei akirejesha fomu za kuwania Ubunge Jimbo la Vunjo ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM)…
……………………………………………………………………….. Idadi ya Wagombea wa Udiwani Viti Maalum jijini Dodoma kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) imefikia 109 huku zoezi la uchukuaji na urejeshaji wa…
Mwanasiasa Bernald Kamilius Membe leo amepokelewa rasmi na kujiunga na chama cha ACT-Wazalendo kwenye mkutano uliofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es…
********************************* NA MWAMVUA MWINYI,PWANI WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) zaidi ya 221 wamejitokeza kuchukua fomu ya ubunge katika majimbo tisa mkoani Pwani pamoja…
Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki Miraji Mtaturu Julai 16 amerejesha fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na CCM kugombea ubunge katika Jimbo…
Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Dodoma mjini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nchi ,Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. Anthony Mavunde akiwasili katika Ofisi…