Siasa
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
CCM ZANZIBAR YAPOMPONGEZA DK.HUSSEIN.
KATIBU wa Kamati Maalum ya NEC,Idara ya Itikadi na Uenezi CCM Zanzibar Ndugu Catherine Peter Nao. ************************************ NA IS-HAKA OMAR,ZANZIBAR. CHAMA Cha Mapinduzi (CCM)…
DKT.TULIA ACHAGULIWA KUWA NAIBU SPIKA
Mgombea Unaibu Spika wa bunge la 12 Mhe.Dkt.Tulia Ackson kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) akiomba kura kwa wabunge ili aweze kuwa Naibu Spika wa…
RAIS DKT.MAGUFULI AMPENDEKEZA KASSIM MAJALIWA KUSHIKA NAFASI YA UWAZIRI MKUU
Spika wa bunge Job Ndugai akipokea karatasi yenye jina la kupendekezwa kwa Waziri Mkuu wa Tanzania kutoka kwa Mpambe wa Rais . Spika wa…
TADEA-NI VYEMA MASHIRIKA YA HAKI ZA BINADAMU KUTOA TAARIFA ZA KUWAONYA WANASIASA WENYE KUHATARISHA AMANI
Chama Tadea kimesema ni vyema mashirika ya haki za binadamu yakatoa taarifa za kuwaonya wanasiasa wanapotoa matamshi ya kuhatarisha amani na kutozishutumu serikali zikizo…
ADV. BYABATO WANABUKOBA MJINI WAKAE MKAO WA KULA
Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini, Adv. Stephen Byabato akilakiapo cha utiifu na uaminifu Bunge Jijini Dodoma kwa ajili ya kuwatumikia wananchi wa Bukoba…
MAVUNDE,GAMBO,CHIKOTA,MGALU,MNYETI,ULEGA NA WENGINE WAONGOZA KIAPO BUNGENI LEO DODOMA
Mbunge wa Jimbo la Kongwa Mhe.Job Ndugai akiapa kuwa mbunge wa Kongwa,leo Bungeni Jijini Dodoma. Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…
NDUGAI AAPISHWA KUWA SPIKA WA BUNGE LA 12 ASHINDA KWA KISHINDO
Spika Mteule wa Bunge, Job Ndugai akipongezwa na Waheshimiwa Wabunge baada ya kuchaguliwa kuwa Spika wa Bunge la 12 Jijini Dodoma. Spika Mteule…
MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT.MAGUFULI AZUNGUMZA NA WABUNGE WATEULE WA CCM JIJINI DODOMA
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt John Pombe Magufuli akikutana na Wabunge-wateule wa Chama hicho Tawala katika ukumbi wa White House jijini Dodoma Jumatatu Novemba…