Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini, Adv. Stephen Byabato akilakiapo cha utiifu na uaminifu Bunge Jijini Dodoma kwa ajili ya kuwatumikia wananchi wa Bukoba Mjini.

Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini, Adv. Stephen Byabato akikabidhiwa vitendea kazi baada ya kuapishwa na Spika wa Bunge Jijini Dodoma.