VIKWAZO VINAVYOWAKWAMISHA WANAWAKE WENYE ULEMAVU KUSHIRIKI KATIKA MICHEZO
Wanawake wenye ulemavu uwe wa viungo, wasioona, viziwi, walemavu wa akili na aina nyingine za ulemavu wana haki na wanaweza kushiriki katika michezo mbalimbali…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Wanawake wenye ulemavu uwe wa viungo, wasioona, viziwi, walemavu wa akili na aina nyingine za ulemavu wana haki na wanaweza kushiriki katika michezo mbalimbali…
Balozi wa Tanzania nchini Comoro,Saidi Yakubu amewahimiza wapenzi wa lugha ya Kiswahili nchini Comoro kujitokeza kwa wingi Siku ya Jumapili ili kukienzi Kiswahili katika…
Na Selemani Msuya MBUNGE wa Viti Maalum (CHADEMA), Sophia Mwakagenda amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuunga mkono kampeni yake ya kuchangia fedha kwa ajili…
Na Ashrack Miraji (Fullshagwe) Same Mbuge wa Jimbo la Same Magharibi Dkt. David Mathayo amewataka vijana wilayani humo kutumia fulsa ya michezo kuendeleza ushirikiano…
Naibu Mshauri wa Wanafunzi, Chuo Kikuu Mzumbe Ndaki ya Dar es Salaam Bi. Zitta Victoria Mnyanyi (kushoto) akizungumza na wachezaji wa mpira wa miguu…
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya nchini kufanya mapitio ya vikundi vyote vya Jogging katika halmashauri zao na…
Afisa Mkuu wa Biashara wa betPawa, Ntoudi Mouyelo akizungumza wakati wa kutangaza udhamini wa mashindano ya klabu bingwa ya dunia kwa wachezaji maveterani (VCWC)…
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza kwenye Hafla ya Utoaji wa Tuzo za Pili (2) za Baraza la Michezo la Taifa kwa Wanamichezo Bora wa Mwaka 2024, katika ukumbi…
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea tuzo ya heshima katika sekta ya michezo kutoka kwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro, kwenye…
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza kwenye ufunguzi wa mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa shule za Msingi (UMITASHUMTA) na Sekondari (UMISSETA) katika uwanja…