VILABU VINAVYOSHIRIKI MICHEZO YA MEI MOSI WAHIMIZWA KULIPA ADA YA USHIRIKI KWA WAKATI
Na Prisca Libaga Maelezo/Arusha TAASISI na Mashirika ambayo yana malimbikizo ya ada za ushiriki wa michezo ya wafanyakazi zimeombwa kulipia ada ya ushiriki mapema…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Na Prisca Libaga Maelezo/Arusha TAASISI na Mashirika ambayo yana malimbikizo ya ada za ushiriki wa michezo ya wafanyakazi zimeombwa kulipia ada ya ushiriki mapema…
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Suleiman Serera amelipongeza Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kuendelea kufanya…
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mbio za hisani za Maendelo Bank zenye lengo kusaidia vituo viwili vya watoto kwenye Hospitali…
Mjumbe wa Bodi wa Pamba Jiji,Evarist Hagila,akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na timu leo. Mchezaji wa zamani wa Pamba SC, Abuu Seif Mazige…
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Suleiman Serera amekabidhi Bendera ya taifa, vifaa vya michezo na gharama za kujikimu…
Na Ashrack Miraji Fullshagwe Media Taasisi isiyo ya kiserikali ya ”Utulivu” kwa kushirikiana na wizara ya Utamaduni, Sanaa na michezo inatarajia kuendesha matembezi maalum…
Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita akifuatana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji (ZBC) Ramadhan Bukini wakati alipofanya Ziara…
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa amezindua rasmi akademia ya michezo inayoitwa “one Tanzanite Football Academy” itakayotoa mafunzo na…
Na Mwandishi Wetu Wakongwe wa soka nchini, Sekilojo Chambua, Bakari Malima ‘Jembe Ulaya’, Joseph Kaniki “Gorota” na Athumani Idd Chuji wametabiri ushindani mkubwa wa…
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo Julai 05, 2024 amezindua Kamati ya Kitaifa ya Maandalizi ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027) na kuahidi…