TANZANIA YAMALIZA NGWE YA KWANZA YA MICHEZO YA OLIMPIKI
Muogeleaji chipukizi Sophia Anisa Latiff leo Jumamosi Agosti 3, 2024 ameingia bwawani na kutupa karata ya tatu ya Tanzania kwenye michuano ya Paris 2024,…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Muogeleaji chipukizi Sophia Anisa Latiff leo Jumamosi Agosti 3, 2024 ameingia bwawani na kutupa karata ya tatu ya Tanzania kwenye michuano ya Paris 2024,…
Tawi la Pamba Jiji FC lililofunguliwa Buchosa Wananchi waliojitikeza kwenye ufunguzi wa Tawi la Pamba Jiji FC Buchosa Na Hellen Mtereko, Mwanza Zikiwa zimebaki…
Mwenyekiti wa Tawi la Yanga Mkolani Aporinary Mgunda (katikati) akiwa na baadhi ya wanachama wa Tawi hilo kwenye Gereza Kuu la Butimba Baadhi ya…
Na Mwandishi, Jeshi la Polisi- Arusha. Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha kupitia klabu yake inayofaya mazoezi ya kukimbia (Joggin) kila siku ya Jumamosi…
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Gerson Msigwa amemtaka mkandarasi wa ujenzi wa kituo cha mazoezi na kupumzikia Jijini Dodoma, kampuni…
Leo Jumanne Julai 30, 2024 Tanzania itatupa karata yake ya pili katika mashindano ya Olimpiki ya Paris 2024 wakati muogeleaji Collins Phillip Saliboko, atakapoingia…
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Afya iendelee kuwahamasisha wananchi wabadili mitindo ya maisha ili kuepuka tabia zembe zinazochochea ongezeko la magonjwa yasiyoambukizwa.…
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi, wakati alipowasili kwenye uwanja wa mpira miguu wa Jamhuri jijini…
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati , Dkt. Doto Biteko akimkabidhi kombe la ushindi Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Dkt. James Andilile baada…
Leo tarehe 27 Julai 2024, Watumishi wa Wizara ya Nishati na Taasisi zilizo chini yake wameshiriki katika michezo mbalimbali katika Bonanza la Nishati Jijini…