WANANCHI WA KIJIJI CHA IGAWA WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA
Barabara ya Igawa-Mafinga ikiwa katika mwonekano wa sasa…
MAHAKAMA KUU KANDA DARESALAAM YATOA HUKUMU KWA MAHAKAMA MTANDAO
....................................................................... Na Innocent Kansha- Mahakama Mahakama Kuu ya…
SANARE AWAHIMIZI WANAMOROGORO KUHAKIKI MAJINA YAO
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Loata Sanare…
TANZIA:DKT.LAMWAI AFARIKI DUNIA
..................................................................... MWANASIASA na mwanasheria mkongwe, Dkt. Masumbuko Lamwai…
SHILATU AHUISHA TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
Afisa Tarafa Mihambwe, Emmanuel Shilatu akipigwa picha wakati…
WAGANGA WA TIBA ASILI WAPATA MAFUNZO KUJIKINGA NA CORONA
Baadhi ya waganga wa tiba asili na tiba mbadala kutoka kata ya Mbesa wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma,wakimsikiliza jana mganga mkuu wa wilaya hiyo Dkt Wendy Robert(hayupo pichani)wakati wa mafunzo ya siku moja ya kuwajengea uwezo juu ya kutambua dalili na kujikinga na ugonjwa wa Corona mafunzo yaliyofanyika katika kijiji cha Mbesa. Mratibu wa Tiba asili na tiba mbadala wa wilaya ya Tunduru Dkt Mkasange Kihongole akiongea jana na waganga wa Tiba asili na tiba mbadala wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kutambua dalili na kujikinga na ugonjwa wa Corona wakati wote wa shughuli zao kama moja ya makundi maalum yanayoaminika katika jamii. Mwenyekiti wa Shirikisho la vyama vya tiba asili na tiba mbadala wa wilaya ya Tunduru Mohamed Nandule akiongea na waganga wa tiba asili na tiba mbadala kutoka kata ya Mbesa wilayani humo ambapo amewataka kufanya kazi zao kwa kuzingatia sheria za nchi na kujiepusha na vitendo vinavyokwenda kinyume na maadili yao. Picha na Mpiga Picha wetu ................................................................................................. Na Mwandishi Wetu,Tunduru…
AHSANTE SANA RAIS MAGUFULI
............................................................................... Na Emmanuel J. Shilatu Ni gumzo gumzo…
ULEGA AKABIDHI MAGODORO 70 KWA KAMBI YA WATU WALIOPO KARANTINI MKURANGA
********************************** NA MWAMVUA MWINYI,MKURANGA Mbunge wa Jimbo la…
CHANGAMOTO YA MABADILIKO YA TABIANCHI KWENYE UKANDA WA EAC MFUKO WA PAMOJA NDIO SULUHU YA KUKABILIANA NAYO
*********************************** Na Ahmed Mahmoud, Arusha Imeelezwa kuwa changamoto…