HABARI PICHA : WAZIRI MKUU DKT. NCHEMBA AKUTANA NA MWANASHERIA MKUU BUNGENI DODOMA
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari bungeni jijini Dodoma, leo Mei 14, 2026.
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari bungeni jijini Dodoma, leo Mei 14, 2026.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, Mhe. Deodatus Mwanyika akizungumza wakati wa semina kwa Kamati hiyo kuhusu…
Kamishna Msaidizi wa Idara ya Sera za Ununuzi wa Umma, Wizara ya Fedha, Bi. Emma Komba, akizungumza wakati wa kufunga kwa niaba ya Kaimu…
Nilidhani nilikuwa nimefika mwisho wa safari yangu ya mapenzi. Maandalizi ya harusi yalikuwa yameanza vizuri, familia zote zilikuwa tayari, na kila kitu kilionekana kwenda…
Kwa miaka mingi nilikuwa na ndoto ya kwenda kufanya kazi nje ya nchi ili nibadilishe maisha yangu na kusaidia familia yangu. Kila nilipoona watu…
*Mhandisi Mramba afanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Mafuta Kenya Tanzania na Kenya zimekubaliana kuharakisha utekelezaji wa miradi mbalimbali ya…
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Regina Qwaray akizungumza na Wauguzi kutoka Mikoa mbalimbali ya Tanzania…
▪︎ Dkt. Mwigulu asema Serikali imejipanga kujenga jengo lenye hadhi ya kimataifa ▪︎ Asema Mwanza itaendelea kuwa kitovu muhimu cha shughuli za kiuchumi Kanda…
Happy Lazaro,Arusha . Arusha .MKUTANO wa 28 wa Kamati ya Viwango ya Jumuiya ya Afrika Mashariki umefanyika mkoani Arusha, ukilenga kuimarisha ushirikiano wa kikanda…
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya, Bi. Erica E. Yegella amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa…