JICA YAJIDHATITI KUTOA MISAADA YA KUTEKELEZA MIRADI YA KIJAMII NA UCHUMI NCHINI
******************** MIAKA 60 ya ushirikiano baina ya Serikali na Tanzania…
TBS YATOA ELIMU KUHUSU USAJILI WA MADUKA YA CHAKULA NA VIPODOZI IKUNGI MKOANI SINGIDA
Mkaguzi (TBS), Bw. Magesa Mwizarubi akitoa elimu kuhusu usajili wa…
NIT KUANZISHA KITENGO CHA MAFUNZO YA USAFIRI WA RELI MKOANI TABORA
****************** NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM CHUO cha Taifa…
SIMBA,CHUI NA MAMBA KUONGEZWA BUSTANI YA LUHIRA SONGEA
Kamanda wa Kituo Kidogo cha Kanda ya Kusini Mashariki Songea…
LICHA YA CHANGAMOTO YA USAFIRI ZAHANATI YA BAGA ILIYOPO MOROGORO VIJINI MSD YAENDELEA KUPELEKA HUDUMA
Matukio mbalimbali katika picha ambazo zinaonesha namna Bohari ya Dawa…
GGML YAWAAGA WAHITIMU WA MAFUNZO TARAJALI
Baadhi ya wahitimu wa mafunzo tarajali kutoka GGML wakiwa na…
WOTALISOLI NA IFUWA KUPATA MAJI YA BOMBA MWEZI UJAO,RUWASA YATUMIA SHILINGI BILIONI 1.9 KUJENGA MRADI MKUBWA WA MAJI
Tenki la maji linaloendelea kujengwa ambalo linatarajiwa kuhudumia wananchi wa vijiji viwili vya Ifuwa na Wotalisoli wilaya ya Kilolo mkoani Iringa. Kaimu meneja wa Ruwasa wilaya ya Kilolo Obed Ngonde akizungumza na baadhi ya wananchi na viongozi wa kijiji cha Ifuwa na Wotalisoli kwenye eneo la ujenzi wa mradi wa maji unaoatarajiwa kuhudumia wananchi wa vijiji hivyo. ......................... Na Muhidin Amri,Kilolo WIZARA ya maji kupitia wakala wa maji safi na usafi wa mazingira vijijini(Ruwasa),imetenga Sh.bilioni 1,908,564,878.00 kwa ajili ya kujenga mradi wa maji utakaowanufaisha zaidi ya wakazi 3,541 wa vijiji vya Ifuwa na Wotalisoli Halmashauri ya wilaya Kilolo mkoani Iringa. Kaimu Meneja wa Ruwasa wilaya ya Kilolo Obed Ngonde alisema,fedha hizo zitumika kutekeleza mradi huo ambao utamaliza kero ya maji safi na salama iliyokuwepo kwa muda mrefu kwa wakazi wa vijiji hivyo ambao hawajawahi kupata maji ya bomba tangu vijiji hivyo vilipoanzishwa. Ngonde alisema,lengo la mradi huo ni kuwapatia wananchi wa vijiji vya Ifuwa na Wotalisoli maji safi na salama katika umbali usiozidi mita 400 pamoja na kupunguza mlipuko wa magonjwa mbalimbali yanayoweza kujitokeza kutokana na changamoto ya ukosefu wa huduma ya maji safi na salama. Kwa mujibu wa Ngonde,muda wa ujenzi wa mradi huo ni miezi sita na ulianza kujengwa tangu mwezi Juni 2022 na unatarajiwa kukamilika tarehe 20 Machi 2023 na muda wa matazamio utakuwa siku 365.…
DUCE YAADHIMISHA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA
Wanafunzi wakiwa kwenye maandamano katika Kilele cha Maadhimisho ya Siku…
TBS YAKABIDHI LESENI 246 KWA WAZALISHAJI WA BIDHAA NCHINI
Mkurugenzi Mkuu wa TBS, Dkt.Athuman Ngenya akikabidhi leseni na vyeti…