joseph
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
RC SIMIYU ASITISHA LESENI 18 ZA UCHIMABJI MADINI
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka akizungumza na wachimbaji, wamiliki wa mashamba na wadau wengine ambao wanajihusisha na shughuli mbalimbali za madini…
VIONGOZI WA DINI 124 MKOANI KAGERA WAPATIWA ELIMU YA LISHE BORA
Mkurugenzi wa Shirika la Agri Thamani Mhe Neema Lugangira (MB) akitoa mafunzo ya lishe bora kwa Viongozi wa Dini kutoka mkoa wa Kagera …
LUHAGA MPINA AKABIDHI RASMI OFISI KWA WAZIRI NDAKI AKIJIVUNIA MAFANIKIO LUKUKI YA SEKTA ZA MIFUGO NA UVUVI CHINI YA JPM
Aliyekuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina akimkabidhi rasmi ofisi Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki mji wa Serikali Mtumba Dodoma. Kulia…
RC PWANI AAGIZA MADC NA MADED WA SHULE ZA MSINGI ZILIZOSHIKA MKIA KUCHUKUA HATUA
****************************************** NA MWAMVUA MWINYI,PWANI MKUU wa mkoa wa Pwani,mhandisi Evarist Ndikilo amewaagiza wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa halmashauri ya Rufiji,Mkuranga na Chalinze kuzifuatilia…
BAKITA yamtunuku Cheti cha Ujuzi wa Lugha ya Kiswahili Balozi wa Italia
Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) Bi. Consolata Mushi (kulia) akifafanua jambo kwa Mgeni Rasmi Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo…
TANZANIA KUIMARISHA USHIRIKIANO NA IORA
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. William Ole Nasha akishiriki Mkutano wa 20 wa Baraza la Mawaziri wa…
RC Mahenge awaagiza ma DC kuweka mikakati kukabiliana na uhaba wa vyumba vya madarasa
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt Binilith Mahenge akizungumza na wajumbe wakati wa kikao cha kamati ya ushauri ya Mkoa (RCC) kikao cha kupitia tathmini…
MATOKEO YA MITIHANI YANARIDHISHA LICHA YA KORONA
Mkuu wa mkoa wa Katavi Juma Homera na Mkuu wa Wilaya ya Mpanda Jamila Yusuf wakiwa katika kikao cha elimu cha Manispaa ya Mpanda…
BILIONI 1.4 ZATUMIKA KUIMARISHA KITUO CHA UTAFITI WA MICHIKICHI KIHINGA
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mhe. Thobias Andengenye ( wa pili toka kushoto) akiongea na Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw. Gerald Kusaya (…