fullshangwe
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
MKANDARASI ANAYEJENGA BARABARA KUELEKEA UWANJA WA AFCON 2027 ARUSHA HATAONGEZEWA MUDA – PROF. SHEMDOE
Na OWM – TAMISEMI, Arusha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI Mhe. Prof. Riziki Shemdoe ameitaka kampuni ya M/s China Railway Construction…
SERIKALI YASAINI MKATABA WA BILIONI 82.9 UJENZI WA BARABARA UWANJA MPYA WA AFCON
*TARURA yaainisha ujenzi wa barabara zenye urefu wa Km. 19 *Mkataba ni wa miezi 13 na itaunganisha barabara kuu ya bypass Arusha Serikali ya…
JESHI LA POLISI MKOANI RUKWA LAWAFIKIA WENYE UHITAJI MAALUM
Kamanda wa polisi mkoa wa Rukwa SACP Shadrack Masija akizungumza wakati wa zoezi la utoaji wa msaada wa vifaa mbalimbali kwa watu wenye kuhitaji.picha…
CCM SIMANJIRO WAENDELEA NA ZIARA
Na Mwandishi wetu, Simanjiro SEKTRETARIETI ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, imeendeleza na ziara ya kata mbalimbali ili kushukuru, kusikiliza…
LUGARI AMCOS YANUNUA GARI LA KUBEBA MAZAO YA WANACHAMA NA WAKULIMA WENGINE,SERIKALI YAPONGEZA KWA HATUA KUBWA YA MAENDELEO
Afisa ushirika kutoka Halmashauri ya wilaya Mbinga Mkoani Ruvuma Ashura Mponda kulia,akikabidhi funguo ya gari kwa mwenyekiti wa Chama cha msingi cha ushirika Lugari…
MVUA YALETA UHARIBIFU WA BARABARA KATIKA ENEO LA KITASENGWA KATA YA ISAKALILO MANISPAA YA IRINGA
NA DENIS MLOWE, IRINGA WANANCHI wa mtaa wa Kitasengwa ulioko katika kata ya Isakalilo manispaa ya Iringa wamesema kuwa wanaishi kwa hofu na uchungu…
UDOM, UNICEF WALETA MAPINDUZI YA KIDIJITALI KONDOA
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Masoko wa UDOM, Bi. Rose Joseph, akibadilishana mawazo na Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Kondoa, Bi. Sekela…
WAKULIMA NDOGOWE WAPATIWA ELIMU YA AFYA YA UZAZI
Na. Fullshangwe Blog, chamwino Dodoma Baadhi ya wakulima na Wanufaika wa mradi wa mashamba ya Serikali ya Jenga kesho iliyobora(BBT)wapatao 300 katika Kijiji cha…
WAKALA WA VIPIMO WAITIKIA WITO WA RAIS SAMIA KUHUSU UPANDAJI MITI
Na WMA – Dodoma Watumishi wa Wakala wa Vipimo (WMA), wameitikia wito wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa…