fullshangwe
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
DKT. EMMANUEL NCHINBI AHUTUBIA WANANCHI WA MWANGA KILIMANJARO
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi akizungumza na Wananchi wa Mji wa Mwanga katika Uwanja wa CD Msuya,…
DKT. MPANGO AWATAKA WAHITIMU WA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA KUZINGATIA MAADILI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma…
MKAKATI KUKABILI MIGONGANO YA BINADAMU NA WANYAMAPORI YATAJWA
Na Mwandishi Wetu IMEELEZWA kuwa iwapo serikali itawekeza kwenye mpango wa matumizi bora ya ardhi, migongano baina ya binadamu na wanyamapori chini itapungua kama…
MAKAMU WA RAIS AMPONGEZA BALOZI WA ITALIA KWA KUFANIKISHA USHIRIKIANO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Balozi wa Italia anayemaliza muda wake nchini Mhe.…
WABUNGE WA CONGRESS MAREKANI WAPONGEZA JUHUDI ZA UHIFADHI NGORONGORO.
Na Mwandishi wetu, NCAA. Wabunge wa Bunge la Wawakilishi la Congress kutoka nchini Marekani wamepongeza juhudi za uhifadhi zinazofanywa na Mamlaka ya hifadhi ya…
UNICEF YAIMWAGIA SIFA TANZANIA KWA UWAZI KATIKA MAANDALIZI NA UTEKELEZAJI WA BAJETI
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF), Bi. Elke…
KATIBU MKUU WA CHAMA CHA ADC ANAUTAKA UENYEKITI WA HAMAD RASHD
Na Sophia Kingimali. Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Alliance for Democract Change(ADC) Taifa Doyo Doyo ametangaza nia ya kugombea nafasi ya Uenyekiti Taifa…
MNEC WAJA ASISITIZA UTUNZAJI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA.
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (MNEC) Chacha Wambura anayetoka Mkoa wa Geita , ameitaka jamii kujenga tabia kutunza mazingira kila siku kwa…
SELEMANI SANKWA: WANATANGA TUJITOKEZE KWA WINGI KESHO KUMPOKEA KATIBU MKUU DK. NCHIMBI
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga Ndugu Selemani Sankwa ……………… NA: MWANDISHI WETU, TANGA. Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa…