fullshangwe
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
BARABARA KOROFI YA MABOGINI – KAHE KUJENGWA KWA LAMI- MHE MCHENGERWA
Na John Mapepele -Moshi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa leo amekagua uharibifu wa barabara ya Spencon- Fongagate- Mabogini- Chekereni…
WAZIRI MKUU ATEMBELEA MGODI WA ELIANJE GENESISI ULIOPO NAMUNGO, RUANGWA NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI
Waziri Mkuu na Mbunge wa Ruangwa , Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi katika Uwanja wa Namango wilayani Ruangwa, Mei 4, 2025. (Picha na Ofisi…
ZITTO KABWE AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA KATA YA BANGWE KIGOMA MJINI
Kiongozi mstaafu wa @ACTwazalendo, Ndugu @zittokabwe akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kata ya Bangwe Jimbo la Kigoma Mjini, Mei 04, 2025 ikiwa…
NMB YAKABIDHI VIFAA VYA MILIONI.42.4 KIGOMA,WADAU WAHIMIZWA KUUNGA MKONO SERIKALI
OR- TAMISEMI Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI Mhe. Zainabu Katimba amepokea Vifaa vyenye thamani ya…
MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI UZINDUZI WA JIMBO KATOLIKI LA BAGAMOYO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa St. Mary Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani kushiriki…
REB YARIDHISHWA MATUMIZI YA NISHATI SAFI GEREZA LA BUTIMBA
*Wapongeza mifumo ya nishati safi ya kupikia *REA yapongezwa kwa kuhamashisha matumizi ya nishati safi Wajumbe wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB) wamefanya ziara…
UKWAA LA UWEKEZAJI ARUSHA LAKUTANISHA WASHIRIKI ZAIDI YA 1,000 NDANI NA NJE YA NCHI
…………… Happy Lazaro, Arusha . Jukwaa la Uwekezaji la Mkoa wa Arusha limeendelea kuvutia hisia chanya kutoka kwa viongozi na wadau mbalimbali waliokusanyika Mei …
ZITTO KABWE WA ACT ABEBA FOMU ZA UBUNGE KIGOMA MJINI
Leo Mei 4, 2025, Zitto Kabwe, kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Kigoma Mjini. Fomu hiyo alikabidhiwa na Katibu…
BENKI YA EXIM YATANGAZA MAFANIKIO MAKUBWA NA MWELEKEO MADHUBUTI MWAKA 2025
2 Mei 2025, Dar es Salaam, Tanzania, Benki ya Exim Tanzania imeanza mwaka kwa mafanikio makubwa, baada ya kuhitimisha robo ya kwanza ya mwaka…