SIMBA SC YAENDELEZA USHINDI MECHI ZA VIPORO
Timu Simba SC imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya wenyeji, JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Timu Simba SC imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya wenyeji, JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni…
Mwandishi Wetu Harare Zimbabwe. Balozi wa Tanzania Nchini Zimbabwe Mheshimiwa Suzan Kaganda, amewasili Nchini humo tayari kuanza majukumu yake katika Balozi hiyo huku akiwaomba…
Na Oscar Assenga, Tanga Tanga Yetu kupitia mradi wa Fursa kwa Vijana (GOYN TANGA ) kwa kushirikiana na Bodi ya Filamu Tanzania wametoa mafunzo…
Na Mwandishi wetu WAZIRI wa Viwanda na Biashara, dk Selemani Jafo, ameagiza kuanzishwa kwa oparesheni maalumu ya kuwabaini na kuwaondoa wageni wanaofanya biashara kinyume…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akutana na kufanya mazungumzao na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo…
JAJI Mkuu wa Zanzibar Khamis Ramadhan Abdalla, akipata maelezo kutoka mkuu wa Divisheni Idara ya Katiba na Msaada wakisheria Zanzibar Bakari Omar Ali, wakati…
Katibu wa Baraza la Wawakilishi Raya Issa Mselem akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Kikao cha Bajeti ambapo kitaanza Tarehe 7 Mey na…
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Zanzibar Fatma Hamad Rajab amewataka Wazazi na Walezi kushirikiana na Waalimu wa Madrasa ili Watoto…
Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) Dkt. Elirehema Doriye leo tarehe 5 Mei, 2025 ameiongoza Menejimenti ya Mamlaka…
Wanasayansi wa mazingira wametakiwa kutumia lugha rahisi zinazoweza kueleweka na jamii katika kuwasilisha tafiti zao hatua ambayo kwa namna moja ama nyingine itasaidia kuwepo…