fullshangwe
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
UMITASHUMTA & UMISSETA 2025 KUFANYIKA KITAIFA MKOANI IRINGA.
OR-TAMISEMI Mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma Shule za Msingi Tanzania UMITASHUMTA na yale ya Shule za Sekondari UMISSETA kwa mwaka 2025 yanatarajiwa…
SINGIDA BLACK STARS YAICHAPA SIMBA SC 3-1 NUSU FAINALI KOMBE LA CRDB
Timu ya Singida Black Stars imefanikiwa kwenda Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Benki ya CRDB baada ya…
WAKILI PETER MADELEKA AJITOSA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KIVULE
Wakili Peter Madeleka amejitosa rasmi kuwania Ubunge jimbo jipya la Kivule wilaya ya Ilala mkoani Dar es Salaam kupitia Chama cha ACT Wazalendo. Aitaja…
RAIS SAMIA ATUNUKIWA TUZO MAALUMU YA HESHIMA NA BUNGE LA TANZANIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo Maalumu ya Heshima kutoka kwa Bunge la Tanzania ikikabidhiwa na Spika…
NILIKUWA NABEBA MIZIGO SOKO KUU, LEO MIMI NDIYO MMILIKI WA BOJA LA MIZIGO HILOHILO
Nilipomaliza kidato cha nne miaka saba iliyopita, sikuwa na nafasi ya kuendelea na masomo. Hali ya nyumbani haikuwa nzuri, na baba yangu alikuwa tayari…
UJENZI WA DARAJA LA KIPANDA LAWANUFAISHA WANANCHI WA VIJIJI VYA NAMSINDE NA MFUTO WILAYANI MOMBA
Momba, Songwe Kukamilika kwa ujenzi wa daraja la Kipanda lenye urefu wa mita 20 na upana mita 7 kumeleta ahueni kwa wakazi wa vijiji…
REA YAHAMASISHA WANANCHI KUTUMIA MKAA MBADALA
Yasisitiza ni salama, gharama nafuu na ni rafiki wa mazingira Yathibitisha kuendelea kuwawezesha wazalishaji wake Wakala wa Nishati Vijijini unahamasisha wananchi kote nchini kutumia…
JARIDA LA TANAPA LANG’ARA MKUTANO MKUU WA CCM DODOMA
Na Mwandishi Wetu. Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) limeonesha kwa vitendo namna lilivyotekeleza ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi(CC), 2020-2025 kwa uweledi…
MSOMERA MAJI KUFIKISHWA KATIKA MAKAZI
Serikali imejipanga kuhakikisha huduma ya maji inaimarishwa kwa wananchi walioamua kuhamia eneo la Msomera, Handeni. Naibu Katibu Mkuu Bi. Agness Meena akiongea kwa Niaba…