Wakili Peter Madeleka amejitosa rasmi kuwania Ubunge jimbo jipya la Kivule wilaya ya Ilala mkoani Dar es Salaam kupitia Chama cha ACT Wazalendo. Aitaja CCM kwa akidai inazorotesha maisha ya wananchi.