John Bukuku
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AZINDUA MATAWI YA NMB
Na Mwandishi Wetu Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango, ametoa wito kwa wananchi kuepuka wakopeshaji binafsi maarufu…
WAJASIRIAMALI WATAKIWA KUJIUNGA KATIKA VIKUNDI ILI KUPATA MIKOPO
Na Neema Mtuka Sumbawanga Rukwa: Wajasiliamali wametakiwa kujiunga katika vikundi vitakavyowasaidia kupata mikopo kwa njia rahisi. Hayo yamesemwa leo March 28,2025 na mbunge wa…
MSD KANDA YA IRINGA YATETA NA WATEJA WAKE KUBORESHA UPATIKANAJI WA BIDHAAA ZA AFYA
Wataalamu wa afya kutoka Mikoa ya Iringa na Njombe, wanaohudumiwa na MSD Kanda ya Iringa wametakiwa kufanya maoteo ya bidhaa za afya kwa usahihi,…
SERIKALI YATENGA BILIONI 68 KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA MKOA WA DAR ES SALAAM
Na Mwandishi wetu Dar es salaam. Serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania ya Awamu ya sita imetenga kiasi cha fedha cha Bilioni 68…
CPA MAKALA AWATAKA WATETEZI WA HAKI ZA BINADAMU KUJITOKEZA SAKATA LA SIGRADA
NA DENIS MLOWE IRINGA KATIBU wa NEC Itikadi Mafunzo na Uenezi Taifa wa Ccm , Amos Makala amewataka watetezi wa haki za binadamu kujitokeza…
AGRA YAWAKUTANISHA VIJANA ZAIDI YA 110 KUTOKA MAENEO MBALIMBALI MKOANI ARUSHA
Meneja miradi wa YEFFA ,AGRA ,Donald Mizambwa akizungumza na waandishi wa habari katika mjadala huo jijini Arusha leo. Afisa biashara mkoa wa Arusha, Njivaine…
KAMPUNI YA SUNKING YAUNGA MKONO AGENDA YA RAIS SAMIA
Kampuni ya sola ya SunKing imeendelea kusogeza karibu zaidi huduma kwa wananchi baada ya kufungua duka jipya katika eneo la stendi ya Kona ya…
MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Balozi Mhe. Suzan Kaganda anayekwenda kuiwakilisha Tanzania nchini Zimbabwe…
SERIKALI YAAGIZA MAGEREZA KUPEWA RUZUKU YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
*Dkt. Biteko atoa mabati 300 ujenzi wa darasa Chuo cha Mafunzo *Magereza yapongezwa kutumia Nishati Safi ya Kupikia * Dkt. Samia apongezwa kwa kuimarisha…