Alex Sonna
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
ZAIDI YA WANANCHI 800 WA WILAYA YA KISARAWE WAJITOKEZA KUPATA HUDUMA YA AFYA BURE
Dokta Bingwa wa Magonjwa ya Saratani, Dkt Heri Tungaraza ambaye ni madaktari bingwa wa Jumuiya ya Madaktari Watanzania waliosoma China (DCAT) akizungumza na wanahabari…
WAZIRI KALEMANI AWAINGIZA MTEGONI MKANDARASI WA REA NA MENEJA WA TANESCO NJOMBE
NJOMBE Baada ya wakazi wa kijiji cha Lole kata ya Ikuna wilayani Njombe kumtupia lawama mkandarasi wa kampuni ya GV Mufindi Power LTD kwa…
MAHAKAMA KUU YAKATAA KUTOA AMRI KWA SPIKA YA KUTOMUAPISHA MBUNGE MTEULE WA SINGIDA MASHARIKI
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es salaam, imekataa kutoa amri kwa spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ya kutomuapisha Mbunge Mteule…
RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MAAFISA WATENDAJI WA KATA WA NCHI NZIMA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli,Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utawala Bora) Mhe. George Mkuchika, Rais wa Nchi…
RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK. SHEIN AKABIDHIWA TUZO YA SINEMA ZETU
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akikabidhiwa Tuzo ya Sinema Zetu na Waziri wa Vijana Utamaduni Sanaa…
CHMTs KAGERA WAFUNDWA KUJIKINGA DHIDI YA UGONJWA WA EBOLA
Afisa kutoka Kitengo cha Dharura na Maafa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt Alex Sanga akieleza namna ya uvuaji…
MWENYEKITI YANGA AWEKA HADHARANI UDHAMINI WA KLABU HIYO
Dondoo za mkutano wa jana Baina ya Matawi na Mwenyekiti wa klabu Mshindo Msolla Mkutano ulikua na lengo moja kuhamasisha amani na umoja ndani…
WANACHAMA CHAMA CHA MADAKTARI WA KIKRISTO TANZANIA WAASWA KUFUATA TARATIBU ZA MATUMIZI NA MANUNUZI YA FEDHA KWA UWAZI
Na.Alex Sonna,Dodoma Mkurugenzi mtendaji wa Taasisi ya kidini ya Christian Social Services Comission[CSSC]inayosimamia sekta Afya na Elimu kwa Baraza la Maaskofu Makatoliki na Jumuiya…
WATAALAMU WA MANUNUZI NCHINI WATAKIWA KWENDA SAMBAMBA NA MFUMO MPYA WA MANUNUZI KUOKOA FEDHA ZA UMMA
Na Ahmed Mahmoud Arusha Wataalamu wa sekta ya manunuzi ya umma nchini wametakiwa kwenda na mfumo mpya wa manunuzi ili k kuendana na mnyororo…