ZIARA YA WAZIRI MKUU KUANZA MORO KESHO
Na.Farida Saidy,Morogoro Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa anatarajia kuanza rasmi ziara ya kikazi ya siku nne Mkoani…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Na.Farida Saidy,Morogoro Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa anatarajia kuanza rasmi ziara ya kikazi ya siku nne Mkoani…
*Ataka Watanzania wachangamkie soko la nafaka nchi za SADC WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki…
Mkuu wa wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, mhandisi Zephani Chaula (katikati) akikagua miundomnbinu ya shule ya msingi Kimelok ambayo majengo yamejengwa na kukarabatiwa na…
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezielekeza mamlaka husika ziwachukulie hatua za kinidhamu watu wote ambao hawakutekeleza majukumu yao ipasavyo kufuatia tukio la ajali ya moto…
Katibu Mkuu wa Wizara Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Susan Mlawi akifafanua jambo kwa wajumbe wa kikao cha Makatibu Wakuu cha kupitia taarifa ya…
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma hotuba yake ya kuahirisha Mkutano wa 16 wa Bunge la 11 , Bungeni jijini Dodoma, Septemba 13, 2019. Waziri…
Na.Alex Sonna,Dodoma CHAMA cha Mapinduzi(CCM), kimewataka wenyeviti wa mashina na mabalozi kutopanga foleni wanapofika kwenye ofisi za serikali. Kauli hiyo aliitolewa jana jijini…
Mkurugenzi Msadizi Familia kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Tausi Mwilima akizungumza na wanachama wa kikundi cha malezi…
Serikali kupitia Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) kwa kushirikiana na Benki ya Dunia na Shirika la Maendeleo la…
Farida Ramadhani, WFM, Dodoma Serikali imeeleza kuwa ili Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) iweze kufanya kazi zake kwa ufanisi inahitaji watumishi takribani 7000 wa…