AUBAMEYANG APIGA MBILI ARSENAL YATOA SARE 2-2 NA NORWICH UGENINI
Pierre-Emerick Aubameyang akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Arsenal dakika za 29 kwa penalti na 57 ikitoa sare ya 2-2 na Norwich City leo…
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
Pierre-Emerick Aubameyang akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Arsenal dakika za 29 kwa penalti na 57 ikitoa sare ya 2-2 na Norwich City leo…
Mratibu wa Shirika lisilokuwa la kiserikali la MEDO, Idd Hashim, akiongoza majadiliano katika kongamano la kujadili changamoto dhidi ya wanafunzi wenye ulemavu wa akili katika Shule ya Msingi…
Na.WAMJW-mwanza Mpaka kufikia mwezi Septemba 2019 takribani watu 1,252,205 kati ya wananchi 1,600,000 wanaokadiriwa kuishi na VVU nchini walikuwa wamepima na kufahamu hali zao…
UTAIPENDA HARMONIZE NA BURNA BOY WAKIIMBA LIVE KAINAMA
MBUNGE wa Singida Mashariki Mhe Miraji Mtaturu amekabidhi mabati 50 yenye thamani ya shilingi laki 975,000 kwa ajili ya kusaidia kupaua kanisa la KKKT…
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog Shirika lisilo la kiserikali ya Ariel Glaser Pediatric AIDS Healthcare Initiative (AGPAHI) linalojihusisha na mapambano dhidi ya…
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe (Mb.), ameiagiza Idara ya Maendeleo ya Michezo kushirikiana na Baraza la Michezo la Taifa…
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Dkt.Bashiru Ally Kakurwa, akivishwa skafu na Vijana Maalum wa UVCCM Wilaya ya Dimani katika ziara yake katika mkoa…
Na Alex Sonna,Dodoma MAMLAKA ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) ilianzishwa kwa mujibu wa Ibara ya 4 ya Sura ya 414 ya Sheria…
Mkuu wa wilaya ya Chamwino Bi.Vumilia Nyamoga,akitoa taarifa kwa Waziri wa Maji Prof.Makame Mbarawa,alipokuwa na ziara ya kukagua na kupokea taarifa ya utekelezaji wa…