Home Michezo AUBAMEYANG APIGA MBILI ARSENAL YATOA SARE 2-2 NA NORWICH UGENINI

AUBAMEYANG APIGA MBILI ARSENAL YATOA SARE 2-2 NA NORWICH UGENINI

0

Pierre-Emerick Aubameyang akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Arsenal dakika za 29 kwa penalti na 57 ikitoa sare ya 2-2 na Norwich City leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Carrow Road. Mabao ya Norwich City Teemu Pukki dakika ya 21 na Todd Cantwell dakika ya 45 na ushei PICHA ZAIDI SOMA HAPA