Home Michezo MANCHESTER UNITED YALAZIMISHWA SARE YA 2-2 NA ASTON VILLA OLD TRAFFORD

MANCHESTER UNITED YALAZIMISHWA SARE YA 2-2 NA ASTON VILLA OLD TRAFFORD

0

Tyrone Mings akishangilia na wenzake baada ya kuifungia Aston Villa bao la kusawazisha dakika ya 66 ikitoa sare ya 2-2 na wenyeji, Manchester United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Old Trafford. Bao la kwanza la Aston Villa limefungwa na Jack Grealish dakika ya 11, wakati mabao ya Man United yamefungwa na Tom Heaton aliyejifunga dakika ya 42 na Victor Lindelof dakika ya 64 PICHA ZAIDI SOMA  HAPA