Alex Sonna
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
IROLE FC YAPOKEA KIPIGO CHA 6-1KUTOKA KWA MAFINGA ACADEM KATIKA ASAS SUPER LEAGUE 2019/2020
Waamuzi wa Asas Super League 2019/2020 ambao wamekuwa wakichezesha michezo mingi ya ligi hiyo yenye msisimko mkoani Iringa na nje ya mkoa wa Iringa…
RC TELACK AZINDUA RASMI USAJILI WA LAINI ZA SIMU SHINYANGA
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack akizungumza wakati wa kuzindua rasmi zoezi la Usajili wa Laini za simu kwa alama za vidole…
PACESHI YAENDESHA MAFUNZO KWA WASAIDIZI WA KISHERIA MKOA WA SHINYANGA
Shirika la linalotoa msaada wa kisheria mkoani Shinyanga Paralegal Aid Centre (PACESHI), limetoa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kisheria wasaidizi wa kisheria 64, kutoka…
NHIF Ipo Imara, Inaweza Kujiendesha Hadi 2024 Bila Michango ya Wanachama
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa ya Bima ya Afya (NHIF) Bw. Bernard Konga akiongea na Wahariri wa vyombo vya habari kuhusu masuala mbalimbali…
SERIKALI NA WIZARA YA MADINI KUSAINI MKATABA WA UTENDAJI KAZI
Na Issa Mtuwa – Dodoma Mafunzo ya Mkataba wa Utendaji Kazi kwa Serikali na Taasisi za umma yameanza kufanyika kwa viongozi waandamizi wa wizara…
KMC YAICHOMOLEA YANGA DAKIKA ZA LALA SALAMA
Timu ya Yanga imelazimishwa sare ya kufungana 1-1 na KMC mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania bara uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.…
TBL YATUNUKIWA TUZO YA KIMATAIFA YA MWAJIRI BORA NCHINI TENA
Cheti cha Top Employer Award in Tanzania ambacho kampuni imetunukiwa Wafanyakazi wa TBL wakifurahia Tuzo ya Kampuni muda mfupi baada ya kukabidhiwa ……………….. Taasisi…
RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN UZINDUZI WA BOTI YA UVUVI YA SEHEWA
BOTI Mpya ya ya Uvuvi ya Sehewa ikiwa katika eneo la ufukwe wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar. RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa…
KUSUASUA UJENZI WA CHUO CHA UALIMU MPUGUSO,WAZIRI NDALICHAKO AINGILIA KATI, ATOA AGIZO KWA KATIBU MKUU KUSIMAMIA
Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Albert Chalamila wakikagua moja ya jengo lenye madarasa linalojengwa…