Alex Sonna
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
FURY NA WILDER WALIVYOTAMBIANA KUELEKEA PAMBANO LA MARUDIANO
Mabondia Deontay Wilder (kulia) na Tyson Fury wakitambiana wakati wa mkutano wao wa kwanza na Wasandishi wa Habari mapema leo ukumbi wa Novo Theatre Jijini…
DKT. NDUGULILE AWAPIGA TAFU WANANCHI UJENZI WA SEKONDARI UTENGULE USONGWE MBALIZI
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile (wa pili kulia) akikabidhi mifuko 50 ya saruji kwa uongozi…
WAPUUZENI WANAOPINGA MPANGO WA VIFURUSHI – RC GAMBO
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo akiongea na Wakazi wa Arusha wakati wa Uzinduzi wa kampeni za kuhamasisha wananchi kujiunga na mpango…
RAIS DKT. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI NA KUWAAPISHA MABALOZI WATEULE 4 IKULU JIJINI DAR ES SALAAM. JANUARI 14, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam. Januari 14,…
TANZANIA POLISI YAMNASA KIPA WA SIMBA SC
MANYIKA Peter Manyika ambaye ni mlinda mlango amekamilisha dili lake la kujiunga na Polisi Tanzania kwenye usajili wa dirisha dogo unaotarajiwa kufungwa kesho, Januari…
KATIBU MKUU HAZINA AHIMIZA WATUMISHI WA TRA KUONGEZA BIDII UKUSANYAJI MAPATO
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watumishi wa Mamlaka ya…
TAASISI YA DORIS MOLLEL YAIPIGA JEKI HOSPITALI YA RUFAA IRINGA
Mkurugenzi wa Doris Mollel Foundation Doris Mollel akizungumza wakati wa kukabidhi vifaa tiba kwa uongozi wa hospitali ya Rufaa ya mkoani Iringa huku mgeni…
MO DEWJI ABADILI GIA ANGANI ARUDI SIMBA SC
“Kilichotokea kwenye akaunti zangu jana kilikuwa ni bahati mbaya, tuko pamoja, tunarudi kwenye ligi tukiwa na nguvu , tunajipanga kwa ajili ya ligi, nawapongeza…
BARCELONA YAMFUKUZA VALVERDE, YAMCHUKUA KOCHA WA ZAMANI WA REAL
KLABU ya Barcelona imemteua Quique Setien aliyewahi kutakiwa na Watford kuwa kocha wake mpya baada ya kumfukuza Ernesto Valverde. Hii ni mara ya kwanza klabu hiyo inafukuza…