Home Michezo FURY NA WILDER WALIVYOTAMBIANA KUELEKEA PAMBANO LA MARUDIANO

FURY NA WILDER WALIVYOTAMBIANA KUELEKEA PAMBANO LA MARUDIANO

0

Mabondia Deontay Wilder (kulia) na Tyson Fury wakitambiana wakati wa mkutano wao wa kwanza na Wasandishi wa Habari mapema leo ukumbi wa Novo Theatre Jijini Los Angeles kuelekea pambano lao marudiano Februari 22 ukumbi wa MGM Grand Jijini Las Vegas, Marekani baada ya kutoka droo kwenye pambano la kwanza miezi 13 iliyopita nchini humo PICHA ZAIDI SOMA HAPA