Mabondia Deontay Wilder (kulia) na Tyson Fury wakitambiana wakati wa mkutano wao wa kwanza na Wasandishi wa Habari mapema leo ukumbi wa Novo Theatre Jijini Los Angeles kuelekea pambano lao marudiano Februari 22 ukumbi wa MGM Grand Jijini Las Vegas, Marekani baada ya kutoka droo kwenye pambano la kwanza miezi 13 iliyopita nchini humo PICHA ZAIDI SOMA HAPA
FURY NA WILDER WALIVYOTAMBIANA KUELEKEA PAMBANO LA MARUDIANO
By Alex Sonna
January 15, 2020 | 6:09 am

Related Stories
View all
Michezo
4 hours ago
MALIASILI YAISULUBU HAKI 41-7, SHIMIWI 2026
Na Sixmund Begashe, Moshi TIMU ya Maliasi Sports Club ya mpira wa Pete KE imeaikandamiza timu ya Haki KE ya Tume ya Haki na…
Michezo
3 days ago
“NMB THE GOAT” ATAMBA MBIO ZA MBUZI, AMSHINDA MPINZANI WA BOWMAN
Mbuzi wa Benki ya NMB, ‘NMB the GOAT’, ameibuka mshindi katika mbio za ‘NMB unGOATable Race’ zilizofanyika Septemba 19, 2026, akimshinda mbuzi wa Bowman…
