Home Michezo MO DEWJI ABADILI GIA ANGANI ARUDI SIMBA SC

MO DEWJI ABADILI GIA ANGANI ARUDI SIMBA SC

0

“Kilichotokea kwenye akaunti zangu jana kilikuwa ni bahati mbaya, tuko pamoja, tunarudi kwenye ligi tukiwa na nguvu , tunajipanga kwa ajili ya ligi, nawapongeza Mtibwa kwa kuchukua kombe, mimi ni Simba damudamu, nitabaki kuwa Simba”

Mohammed Dewji Mo.
-Mwekezaji na Mwenyekiti wa Bodi ya Klabu ya Simba