WACHEZAJI wa Liverpool wakimpongeza mwenzao, Diogo Jota baada ya kufunga mabao matatu dakika za 16, 33 na 54 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya wenyeji, Atalanta kwenye mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Gewiss Jijini Bergamo. Mabao mengine ya Liverpool yalifungwa na Mohamed Salah dakika ya 47 na Sadio Mane dakika ya 49 na kwa ushindi huo Liverpool inafikisha pointi tisa na kuendelea kuongoza Kundi D kwa pointi tano zaidi ya Ajax inayofuatia baada ya kila timu kucheza mechi tatu PICHA ZAIDI SOMA HAPA
DIOGO JOTA APIGA HAT TRICK LIVERPOOL YAICHAPA 5-0 ATALANTA LIGI YA MABINGWA ULAYA
By Alex Sonna
November 4, 2020 | 8:17 am

Related Stories
View all
Michezo
2 days ago
ELLIOT ANDERSON ATUA MANCHESTER CITY KWA PAUNI MILIONI 116
Na. Fullshangwe Michezo, Updates Manchester, England – Manchester City imekamilisha usajili wa kiungo Elliot Anderson kwa dau linaloripotiwa kufikia pauni milioni 116, huku mchezaji…
Michezo
3 days ago
MKUU WA MAJESHI ATAKA JWTZ KULEA VIPAJI VYA MICHEZO KWA MWENDELEZO WA JESHI
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF), Jenerali Jacob John Mkunda, amezitaka timu zote za Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kuweka…
