Serge Gnabry (kulia) akipongezwa na wenzake baada ya kufunga mabao mawili dakika za 18 na 33 to kabla ya Robert Lewandowski (katikati) kufunga la tatu dakika ya 88 katika ushindi wa 3-0 wa Bayern Munch dhidi ya Olympique Lyon kwenye mchezo wa Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Jose Alvalade Jijini Lisbon, Ureno na sasa watakutana na Paris Saint-Germain katika fainali Jumapili PICHA ZAIDI SOMA HAPA
BAYERN MUNICH YAICHAPA 3-0 LYON NA KUTINGA FAINALI LIGI YA MABINGWA SASA USO KWA USO NA PSG
By Alex Sonna
August 20, 2020 | 6:30 am

Related Stories
View all
Michezo
9 hours ago
TAMASHA LA CLEMENT MZIZE WASHIKE MKONO MSIMU WA 1 KUFANYIKA UWANJA WA SAMORA JULAI 12 MWAKA HUU – MAPATO KUSAIDIA WENYE MAHITAJI IRINGA
NA DENIS MLOWE, IRINGA MCHEZAJI wa Yanga SC na Timu ya Taifa ya Tanzania, Clement Mzize, ametangaza rasmi kufanyika kwa tamasha la hisani la…
Michezo
20 hours ago
UFARANSA YATINGA NUSU FAINALI YA KOMBE LA DUNIA 2026 KWA KUIONDOA MOROCCO
Timu ya Taifa ya Ufaransa imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la Dunia 2026 baada ya kuichapa Morocco mabao 2-0 katika mchezo…
