Wachezaji wa Real Madrid wakiwa wamemuinua juu kocha wao, Mfaransa Zinedine Zidane baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Villarreal, mabao ya Karim Benzema dakika ya 29 akimalizia pasi ya Luka Modric na 77 kwa penalti Uwanja wa Alfredo Di Stéfano hivyo kutwaa taji la La Liga. Ushindi wa leo unaifanya Real Madrid ifikishe pointi 86 na kuwaacha mabingwa watetezi, Barcelona kwa pointi saba baada ya wote kucheza mechi 37 na hilo linakuwa taji la 34 la LaLiga kwa Real Madrid kihistoria na la pili kwa Zidane kama kocha PICHA ZAIDI SOMA HAPA
REAL MADRID YATWAA UBINGWA WA 34 LA LIGA BAADA YA KUIPIGA 2-0 VILLARREAL
By Alex Sonna
July 17, 2020 | 3:36 am

Related Stories
View all
Michezo
6 hours ago
WAZIRI KOMBO APOKEA RASMI KOMBE LA USHINDI WA WANADIPLOMASIA DHIDI YA WABUNGE KATIKA BONANZA LA CRDB
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe.Dkt. Mahmoud Thabit Kombo leo Julai 14, 2026 amekabidhiwa rasmi kombe kutoka kwa Naibu…
Michezo
18 hours ago
HISPANIA YATINGA FAINALI KOMBE LA DUNIA 2026, YAICHAPA UFARANSA 2-0
Timu ya Taifa ya Hispania imefanikiwa kutinga fainali ya Kombe la Dunia 2026 baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Timu…
