Wachezaji wa Arsenal wakishangilia ushindi wa 2-1 dhidi ya Liverpool kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Emirates. Mabao ya Arsenal yalifungwa na Alexandre Lacazette dakika ya 32 na Reiss Nelson dakika ya 44 baada ya Sadio Mane kuanza kuifungia Liverpool dakika ya 20. Arsenal inafikisha pointi 53 baada ya kucheza mechi 36 na kupanda kwa nafasi moja hadi ya tisa, wakati Liverpool tayari mabingwa wanabaki na pointi zao 93 za mechi 36 sasa PICHA ZAIDI SOMA HAPA
ARSENAL YAICHAPA 2-1 LIVERPOOL
By Alex Sonna
July 16, 2020 | 8:45 am

Related Stories
View all
Michezo
8 hours ago
MEXICO YATINGA HATUA YA MTOANO KOMBE LA DUNIA 2026
Timu ya Taifa ya Mexico imefuzu hatua ya mtoano ya michuano ya Kombe la Dunia 2026 baada ya kukusanya pointi 6 kutokana na ushindi…
Michezo
1 day ago
CZECHIA NA AFRIKA KUSINI WAGAWANA POINTI KOMBE LA DUNIA 2026
Timu ya Taifa ya Afrika Kusini imefanikiwa kutoka sare ya mabao 1-1 dhidi ya Czechia katika mchezo wa hatua ya makundi ya Kombe la…
