Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akisalimiana na viongozi mbalimbali baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Arusha, uliopo Kisongo mkoani Arusha baada ya kuhitimisha Ziara yake ya Kitaifa, Mpigi nchini Uganda, tarehe 19 Novemba, 2026.

Shamrashamra za mapokezi ya Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili Ngaramtoni Jijini Arusha tarehe 19 Novemba, 2026.

Wananchi wa Ngaramtoni, mkoani Arusha wakimsikiliza Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati akiwahutubia tarehe 19 Novemba, 2026.

Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akizungumza na wananchi wa Ngaramtoni baada ya kuwasili mkoani Arusha tarehe 19 Novemba, 2026.

