Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb), leo Oktoba 8, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Spika wa Bunge la Uingereza, Sir Lindsay Hoyle.

Mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC), jijini [email protected]