WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, akitoa salamu baada ya kushiriki Ibada ya Jumapili, leo, Agosti 23, 2026, katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani (DMP), Usharika wa Kijitonyama, jijini Dar es Salaam.

PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU
