
Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO Lazaro Twange, akitoa ufafanuzi kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, kuhusu majukumu ya Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme (ETDCO), wakati alipotembelea banda la kampuni hiyo leo, Julai 13, 2026, katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba), yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, Dar es Salaam
